Shamba kwa ajili ya Kilimo cha Biashara Morogoro linahitajika.

Heaven Seeker

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
479
Reaction score
1,080
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.

SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au Mvomero.

MATUMIZI: Kilimo cha Umwagiliaji wa mazao mbalimbali , hasa Mboga mboga na Matunda.

Mwenye nalo au atakayeweza fanikisha upatikanani wa Shamba hilo kwa ajili ya kununua tuwasiliane na nitashukuru kwa ushirikiano.
 
Mkuu npgie nkuunganishe na jamaa lipo karbuu na mto ngerengere 0784616544
 
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.

SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au Mvomero.

MATUMIZI: Kilimo cha Umwagiliaji wa mazao mbalimbali , hasa Mboga mboga na Matunda.

Mwenye nalo au atakayeweza fanikisha upatikanani wa Shamba hilo kwa ajili ya kununua tuwasiliane na nitashukuru kwa ushirikiano.
Ninazo ekari 5 mkundi, ila hakuna chanzo cha maji. Chimba kisima. Bei nafuu saaana. If interested come PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninazo hekari 5 ifakara mngeta, upo mto pembeni linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji.PM kama uko serious
 
Back
Top Bottom