Natafuta Chumba (self contained) cha kupanga Mbeya, maeneo ya Nanenae au Isyesye

mommythebest

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
516
618
Habari wakuu!
Samahani kwa wale waliopo Mbeya, natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained. Kiwe maeneo ya Isyesye au Nanenane. Kikiwa chumba na sebule utakua poa zaidi.
Bless you
 
Habari wakuu!
Samahani kwa wale waliopo Mbeya, natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained. Kiwe maeneo ya Isyesye au Nanenane. Kikiwa chumba na sebule utakua poa zaidi.
Bless you
ila majina ya mbeya ni mabaya sana. sasa ISYESYE ndio nini jamani!!!
 
ilo jina la huo mtaa linatamkwaje

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
 
Si ujenge ya kwako nyumba huna unaanza masharti nani ajenge nyumba alale na mavi humohumo watu na uzungu wenu.

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Si ujenge ya kwako nyumba huna unaanza masharti nani ajenge nyumba alale na mavi humohumo watu na uzungu wenu.

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Hahahaha comments zingine bhana, ndio ameenda hata mrejesho hakuna Hahaha!
 
Back
Top Bottom