Itende high school Mbeya masomo advanced: HGL, HGK, HKL, HGE, EGM

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
Shule ipo Mbeya mjini, km 5 toka city centre.

Mazingira tulivu ya kusomea
Ada nafuu kabisa
Bweni na kutwa
Walimu mahsusi kwa masomo
Mhula wa awali kuanzia 6/4/2017

Fomu sh 10,000 , popote ulipo, tutakutumia kwa email. omba nafasi tukuwekee,
Wasiliana: 0692138944
 
hii shule ipo jirani na shule yangu iyunga tech, enzi hizo miaka ya 2002 waliokuwa wanasoma hapo itende tulikuwa tunawaona ni kina bashite.... vipi kwa sasa mkuu imepanda viwango?
 
hahahah hawawezi kuacha ubashite wale jamaa
 
Iko vema kwa sasa. Ktk private schools jijini Mby, inajitahidi.
 
Shule ipo Mbeya mjini, km 5 toka city centre.

Mazingira tulivu ya kusomea
Ada nafuu kabisa
Bweni na kutwa
Walimu mahsusi kwa masomo
Mhula wa awali kuanzia 6/4/2017

Fomu sh 10,000 , popote ulipo, tutakutumia kwa email. omba nafasi tukuwekee,
Wasiliana: 0692138944
Hapo kwenye form.......
Nakumbuka mwaka 1997 kuna mtu alikuwa anatangaza shule kule Mwanza.
Akafungua na ofisi kabisa katika shule moja ya msingi.
Watu wakajazana kuchukua form.
Mwisho wa siku ikajulikana kuwa hiyo shule ni hewa!
Kumbe alitaka kupiga hela ya form tu.
I hope wewe hauko hivyo. Nitumie form moja nina mtoto anahitaji combination ya HGE.
 
Hakuna uhuni huo..nipe no ya whasap upeww form
Au e-mail yako.
 
Back
Top Bottom