Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau Karibuni kwa huduma zote kama bango linavyojieleza hapo chini
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Wakuu poleni na majukumu, Nauza gari aina ya Toyota Ist Chassis number Unregistered Never used in Tanzania Model/Year 2002 Mileage 67,000km Engine capacity 1290cc Tshs 9.5milion (fixed) Call 0787...
4 Reactions
41 Replies
17K Views
- If you needs Electric fence installation for your House, Hotel, Workshop and Store, please feel free to contact us. __________________________________________________________________ ...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
- If you needs Electric fence installation for your House, Hotel, Workshop and Store, please feel free to contact us. __________________________________________________________________ ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupo buguruni chama tunauza bati za rangi kwa bei ya viwandani na treated timber.bati zinatoka kampuni zifuatazo, alaf,dragon,wolong,afrin,tifo and snow leopard...karibu or call 0713283760
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Ndugu mpendwa husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu Eneo la ziwani hekari 20 linauzwa Mwanza Nyanguge uelekeao ni Barabara ya kwenda Musoma ni km 30 kutoka Mwanza mjini hadi site. SIFA ZA...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Salaam, Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali) Bei ni laki 4.5 kwa mwezi. Maelewano yapo. Nyumba ni kubwa...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Pagare lipo eneo la Kinondo B , wilaya ya kinondoni. lipo kwenye kiwanja che ukubwa wa miguu 70 x 30. pagare lina vyumba 3 vya kulala , sebule , jiko na choo. lipo upande wa kushoto kama unaenda...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
habari wakuu kiwanja kinauzwa Bonite moshi Kilimanjaro 20 kwa 20 bei ni shilingi million 8 tu taratibu zote za kisheria na kiserikali katika mauzo zitafuatwa tafadahali ni PM kwa maelezo ya...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Nauza Maziwa fresh 1600 kwa Lita. Delivery service ni bure ukichukua kuanzia Lita 5 Kuanzia Lita 4 kushuka chini usafiri utalipia wewe nakuletea popote pale ndani ya dar. Napokea oda za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
0 Reactions
0 Replies
716 Views
nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Natafuta mosquito ama pest reperllent zile za kuplug kwenye umeme zinatoa ultrasound ama electromagnetic pulse za kufukuza mbu,ama wadudu mbalimbali ndani ya nyumba, natafuta hasa brandy ya Pest...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka. Tuwasiliane 0657145555.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama inavyoonekana hapo juu kilichokoseka na betry tu, nilipoteza usiku, kama unauza betry zake njoo tufanye biashara au kama unakihitaji na betry utatafuta mwenyewe njoo tufanye biashara pia
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ninahitaji simu aina ya OPPO R11 nyeusi nimejaribu kuzunguka kariakoo sijapata kwa mwenye ufahamu naomba kujuzwa.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Used oppo F3 kutoka Dubai Internal 64GB, RAM 4GB bei 550,000/= Nicheki 0715808028
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za kazi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta Fundi nguo mzuri awe anapenda kujifunza vitu vipya,awe mbunifu, anajua kujiongeza, kazi zake smart kabisa tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Za leo wakuu, natafuta bodaboda aina ya toyo sitaki boxer maana ni yakupeleka kijijini ikapige mzigo huko kumbuka kwamba najua soko lilipo, so nimekuja hapa kwasababu najua mazungumzo yatakuwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
NAUZA KINGAMUZI CHA STARTIMES PAMOJA NA DISH LAKE. BEI NI TSH60,000. KINA MDA WA MWEZI MMOJA TANGU KINUNULIWE WAHI SASA..KINAPATIKANA KIMARA MWISHO,MAWASILIANO NI 0746156938.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom