Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.
SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au...
Nyumba inauzwa Mbeya mjini eneo la sokomatola jirani na kanisa la Moravian na Njiampaka,barabara ya kwanza.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:-
0718108188
0685110666
0759544682
Habari kwa yule mwenye uhitaji wa kufundishiwa mbwa mkoani mbeya minipo naujuzi wa kufundisha mbwa ukali anapokuja mwizi,utii kwa boss wake,kumwepusha na sumu, pamoja somo lolote unalohitaji mbwa...
Chumba kiko mbezi mwisho kodi elfu sitini kwa mwezi kulipa kuanzia miezi sita..
Chumba kina choo ndani tiles chini pamoja na gypsum bila kusahau maji na geti kubwa.
Masharti ya chumba...
Habari wakuu!
Samahani kwa wale waliopo Mbeya, natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained. Kiwe maeneo ya Isyesye au Nanenane. Kikiwa chumba na sebule utakua poa zaidi.
Bless you
Habari za asubuhi wana JF.
Naombeni msaada wa kupata soko la kuuza ndizi mbichi aina mbalimbali pamoja na nazi. Kama unaye ndugu yeyote au mtu yeyote mwenye kujihusisha na biashara za aina hii...
Habari wanajamvi,
Nilikuwa nahitaji Blackberry Passport au Blackberry Keyone. Atakayekuwa anauza ani PM tuongee biashara. Nipo tayari kusikiliza offer kutoka kwa wauzaji... Asante
Piga simu no;- 0754 597809, Tupo Mbezi beach Tangibovu kwa Komba.
Vifaa:- Tv aina zote, mixer, amplifiers, booster, keyboard, subwoofer, machine za kuhesabu hela bank au super market, kuunda vifaa...
Habari zenu mabibi na mabwana. naomba kuuliza kwayeyeto anaefaham OFICI ao MTU binafsi wanao jihusisha na kutoa mikopo ya magari. Naitaji Gari aina ya NOAH old model, ao Toyota CARINA Ti. naitaji...
Wadau wa biashara za china, naona PM na maswali juu ya china yamekuwa mengi.
Kutokana na majukumu ya kazi zangu, siwezitoa details zote kwa kila mtu.
Nakaribisha wote mpate consulting service...
Nipo kigoma...0782332176...sabuni carton moja ina miche 20 na inauzwa sh 24000...nipo kigoma. ..njia ya Dar na Mwanza natuma Kwa Gari za mizigo kwa gharama nafuu ya mteja..karibuni sana...uaminifu...
Ninauza kiwanja kipo manispaa ya morogoro kata ya lukobe kimepimwa na kina ofa ukubwa wake ni 30 kwa 40, bei ni 3,800,000 kwa mawasiliano piga 0762282526
Je, wewe ni mwandishi wa habari??
Umesomea tasnia hiyo?...na hata kama hujasomea lakini unao UWEZO wa kuandika habari 2 kwa siku,
Yes, habari 2 kwa siku ktk sekta mbalimbali kama vile habari za...
Habarini wakuu?? Nahitaji midoli ya kike mitatu kwa ajili ya duka la nguo.Iwe mizima juu na chini kwa ajili ya Gauni, sketi, jeans au blauzi.
Kwa mwenye nayo anicheki PM tupeane contact..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.