Tecno j8 bado ipo kwenye hali zuri kabisa
Camera front 8 megapixel second 13 megapixel
Storage 16GB ram 2GB display 5.5 Inch ipo fresh Bei ni 170000 tuuuu
Nina shamba la ekari 2.5 la mitiki yenye umri wa miaka kumi na tano (15) mkoani Morogoro wilaya ya Kilombero. Circumference ya miti ina range kati ya cm 50 na 100. Tunauza kwa kipimo cha cubic...
Habari wakuu,
Kama mada inavosema hapo juu. Natafuta snow foam cannon/gun nimefunguwa Car wash business lakini nimekwisha kuhangaika kutafuta hio kitu.
Kwa anejua wapi inapatikana naomba...
Kichwa cha barua chahusika.Shamba lipo mkoani Iringa wilaya ya Kilolo kijiji cha Mkalanga.Shamba linafaa kulimwa miti ya mbao na hata miti ya matunda hasahasa parachichi,shamba ni pori...
Nimeona nirudie hili tangazo ili niweke figures vizuri.
Nina idea ya biashara na nimeiplan katika muonekano tofauti. of course dio idea mpya ila kutokana na contents na strategies...
Nahitaji brand new laptop.
napendelea sana HP Nyeupe.
specifications
1. Internal memory ya 500GB hard disk
2. Ram ya 16GB ama 32GB
3. Core i 7
4. Graphic card
5. Touch screen
Na mengine ambayo...
Habari za kazi wadau, tunauza begi ndogo kwa ajili ya wanaume za kuwekea cm, diary, charger nk, bei in sh 15000 zipo za vijana,za wakina baba nk pia tunafundisha kwa anaetaka kujifunza ,kwa Leo...
Kuna wakati Watanzania tunakuwa tunashindwa kuitumia fursa tulionayo. Hiyo picha upande wa kulia unayemuona ni Maxence Melo ambaye ni mwanzilishi wa JamiiForums. Huyu jamaa anaingiza pesa ndefu...
4GB DDR3 RAM, Expandable Up to 8GB500GB SATA HDDIntel HD Graphics 3000Core i3 (2nd Generation)6Cell (Li-Ion)
Product information
BrandHPColourImprint BlackItem Height36 MillimetersItem Width24.7...
Salaam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza; naomba kuelekezwa mahali panapouzwa hivyo vifaa vya kuhifadhia fedha kwa hapa Dar es Salaam.
Nahitaji safe original kama hizi zinazoonekana pichani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.