Msaada mkopo wa gari

Msaada mkopo wa gari

Farudume12

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
621
Reaction score
352
Habari zenu mabibi na mabwana. naomba kuuliza kwayeyeto anaefaham OFICI ao MTU binafsi wanao jihusisha na kutoa mikopo ya magari. Naitaji Gari aina ya NOAH old model, ao Toyota CARINA Ti. naitaji moja kati yahayo magari, kwaajili ya biashara. Gari Iwe nzima isiwe na tatizo lolote. Mimi ni mjasiriamali Nafuga kuku pia Namiliki Duka la vipodozi. Napatikana Dar es salam Tegeta. karibuni
 
Huna hata advansi ya kuanzia??
 
ungekua ata na tumilioni kadhaa twa kuanzia then unalipa kwa instalment
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom