Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Habari wanaJF Natafuta mtu/company inyotengeneza vitabu vya malipo kwa ajili ya comapny/organization kama nilivyoorodhesha hapo chini:- 1. Cash Book 2. Payment Voucher 3. Pretty Cash Expenses...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
kama kuna mtu yeyote anayeweza kutumia vizuri fire extinguisher, pia kuelekeza namna ya kutumia kwa watu wengine waliopo ofisini anitafute 0624 056531 kabla ya mwezi wa nne,2018
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wenye uhitaji ujenz wa gharama nafuu wa nyumba za kisasa michoro na ushauri wa kitaalam tuna mafundi waliobobea. Tunajenga na kukamilisha kulingana na makubaliano.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau kama taarifa inavyojieleza, natafuta mdau wa kuniuzia korosho zilizobanguliwa kwa ajili ya kutuma nje ya nchi. This is a serious deal, tafadhali weka mawasiliano yako hapa nikutafute...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Habarini wakuu, Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta mashine ya kisasa ya kukamua miwa na kutengenezea juice inayopatikana hapa nchini hasa mkoani Dar es salaam ?? Mashine ya kisasa hasa zile...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ni utaratibu gani natakiwa kufwata ili niweze kuanzisha biashara ya kokoto. Kwa maana ya kufunga KRASHA la kuvunjia mawe. Utaratibu ni upi huko serekalini? Mwenye idea na hii kazi naomba uzoefu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu yangu anauza simu tajwa hapo juu Bei ni 645,000/= Imetumika kwa muda wa miezi 7. Yupo Dar es Salaam, wasiliana naye WhatsApp 0769382651
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunao 200 bei sh15,000 @. Tupo Dar. Ukitaka wote bei inapoa. Piga 0712729015
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Tunakuletea mkopo kabambe wa ujenzi wa nyumba. Tunatoa mkopo wa kujengewa nyumba ambapo utajengewa nyumba yako na kukabidhiwa funguo zako kisha kuanza kutumia nyumba yako utakavyo wewe. Jinsi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu natafuta pikipiki, sun lg, boxer, TVs Yamaha ama nyingine yoyote ambayo ni nzima. Ofa yangu ni 7k. Ikipatikana iliyoko arusha ama dar itapendeza zaidi
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Offer yangu ni 4,700,000 nahitaji mwenye nayo njoo inibox
1 Reactions
0 Replies
816 Views
kimeshauzwa tayari- asante kwa ushirikiano
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakubwa zangu, Nimewaletea stationary ya kibabe zaidi ambayo inatoa huduma kwa bei nafuu kabisa sawa na bure. Tunatoa huduma zote za secretarial services kama vile printing, typing, binding...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Toyota Raum old model Bei 4.5 mil 0718116223 whtspp
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari Zenu??smart phone inauzwa Ni ITEL ipo vizuri kabisa Bei ni Tsh 150,000/=ila maelewano yapo kidogo.Una ruhusiwa kuijariibu siku ya kuifata, Kama upo tayari ni pm direct.nipo DSM.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu kama unatafuta fundi wa jiko lako la linalotumia GASS au jirani hata ndugu Mtafute huyu fundi bingwa wa aina hiyo ya majiko ni fundi mzuri pia mwaminifu +255715673024 kwa instagram anatumia...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Habari za saa hizi ndugu zangu ,nimefungua studio nimeona niongeze vifaa nahitaji camera NIKON D 7500 na D5200 ama D3500 Karibuni kama unayo ni pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye nguo za miaka ya 90s mashati majins na frana pia anitafute size ya surual 31 32
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka acount ya instagram yenye followerz laki moja Nanunua...mwenye nayo anitafute whatsapp +255656721501
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…