Miliki nyumba yako ndani ya miezi sita tu

beauty in me

Senior Member
Dec 27, 2017
161
134
Tunakuletea mkopo kabambe wa ujenzi wa nyumba.

Tunatoa mkopo wa kujengewa nyumba ambapo utajengewa nyumba yako na kukabidhiwa funguo zako kisha kuanza kutumia nyumba yako utakavyo wewe.

Jinsi ya kulipia utaanza kwa kulipia 20% ya gharama zote za nyumba unayotaka kisha kiasi kilichobaki utakilipia kidogo kidogo kwa muda wa miezi 95 mpaka miezi 132... waooo amazing deal

Kuna nyumba za Mil 68 three bedrooms, one master bedroom na zingine mbili za kawaida. Tutakuwekea umeme, garden, sewage system, makabati ya jikoni na vyumbani, masink, tiles n.k

Pia kuna nyumba za million 45 mpaka milioni 30. Kumbuka ni ndani ya miezi sita tu unamiliki mjengo ambapo ukitaka utapangisha au kuishi mwenyewe.

Kwa maelezo zaidi tukutane DM
 
Back
Top Bottom