Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ps3 250gb storage with 5 Games inside, 2 pads and full accessories For Sale Tsh. 350,000 Maelewano yapo. Nicheki Whatsapp Tu kwa 0625612638 au 0677888412
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama unahitaji Adsense account njoo Nikuuzie, Haina $ bei ni sh.60,000 Njoo Pm au 0766146136
0 Reactions
10 Replies
2K Views
DAVIS CROSSBREEDING Ni mzalishaji wa vifaranga chotara wa kuku .( wanapatikana kwa idadi yeyote) Ni kuku wanaovumilia magonjwa. = Wantaga mayai mengi. = Wanastahimili magojwa. Vilevile...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Naenda1 kwa1 kwenye mada! Mimi ni Mwl by profession n napenda kuandika vitabu na nimeshaandika viwili mpaka sasa! Shida yangu ni Moja, nahtaji kupata kampuni au publisher...
0 Reactions
12 Replies
937 Views
Karibu na hongera kwa kuwa mfugaji wa kuku. Karibu Sinade poultry farm tuko Morogoro. Tunajighulisha na ufugaji hasa wa kuku aina ya Kuroiler. Kwa mahitaji yako ya Kuroiler karibu uwasiliane na...
4 Reactions
28 Replies
20K Views
Kiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' kipo karibu barabara na pia stand kuu..!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Naomba kujuzwa naweza kupata wapi mashine ya namna hii?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nipo Kinondoni - Biafra Bei ni Tsh 300,000/= Kwa mawasiliano piga au tuma SMS kwa namba:- +255 653 231 798 +255 744 601 144
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa matatizo ya Kiyoyozi (AC) fridge freeze na vifaa vyote vya kutengeneza baridi pia tunafunga na kurekebisha madishi umeme tupo kigamboni kinondoni na buguruni Tupigie kupitia namba 0673772880...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
This is the BEST NOAH 2007, very clean, in very GOOD CONDITION.. SPORTY RIMS 18 inches black with white stripes: NAUZA: HII NI GARI NZURI SANA TOWN KULIA kuku au Bush kote inaenda Overview: ...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
salaam... kama unahitaji UPS used kwa bei rahisi ya kutupa njoo pm au weka comment hapa. picha zime ambatanishwa. nb: battery imeisha, itabidi ui-replace kabla hujaanza kuitumia. sina...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu salama, Hivi unaweza kutofautisha vipi kati ya simu samsung original na fake?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Lina ukubwa wa eka 100 Lipo ktk kijiji cha Madeke ktk tarafa ya Lupembe mkoani Njombe Bei ya kila eka ni 150000 tsh Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0784340024,0655726929 au0764426929
0 Reactions
3 Replies
855 Views
Kama heading inavyosema, vinahitajika vifuatavyo -Engine aina ya JD ya mashine ya KUSAGA -Gearbox ya SCANIA BEI MAELEWANO Simu 0716411720
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naitaji camera used module hiyo iwe full good condition na pakage zake location mwanza 0753358283
0 Reactions
3 Replies
823 Views
Habari zenu wakuu. Ninauza kiwanja changu, kiko Madale, karibu na kituo kipya cha Polisi eneo maarufu kama Madale nguzo mbili, ni karibu sn na barabara kuu ambayo itawekewa lami hivi karibuni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mjasiriamali Mdogo ambaye kwa sasa nmejikita katika kutengeneza bites lakin uzalishaji wangu umekua n wakusua sua kutokana na kukosa vitendeakazi, Ukosefu huu unatokana...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Nyumba kubwa ya familia inapangishwa Tabata bima Master bedroom 1 Vyumba vya kulala 3 vingine Sitting room Dining room Jiko Public toilet Maji yapo 24/7 ya Dawasco Fence ya standard Big area...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Nahitaji kujuzwa wapi naweza pata soko la maboga, kwani nataraji kuvuna maboga takriban fuso moja au zaid mnamo mwezi wa nane. Nimelima mkoani Tanga wilaya ya Handeni...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Naomba kupata msaada samaki wa aina hii wanapatikana wapi Tanzania, koi fish. na gharama gani? Kama hakuna ikiwa nitagiza nje kama Brazil, Nitahitajika kuwa na health certificate?
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Back
Top Bottom