Pikipiki inatafutwa.

Pikipiki inatafutwa.

Iruru

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
1,469
Reaction score
2,902
Wandugu natafuta pikipiki, sun lg, boxer, TVs Yamaha ama nyingine yoyote ambayo ni nzima. Ofa yangu ni 7k. Ikipatikana iliyoko arusha ama dar itapendeza zaidi
 
Nikajua umeibiwa pikipiki kumbe unataka kununua.
 
Kuna pikipiki ipo Dar ila siyo ya biashara (bodaboda) picha na maelezo zaidi nakupa data soon.
 
Wandugu natafuta pikipiki, sun lg, boxer, TVs Yamaha ama nyingine yoyote ambayo ni nzima. Ofa yangu ni 7k. Ikipatikana iliyoko arusha ama dar itapendeza zaidi
Ukipata mbili nijulishe,nami nahitaji
 
Back
Top Bottom