NAHITAJI EXTERNAL HARD DISK 500GB.

NAHITAJI EXTERNAL HARD DISK 500GB.

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,915
Reaction score
2,981
Wadau nahitaji external hard disk bei ni maelewano pesa ipo cash .. msingi uwe dar au shinyanga mjini , ikiwa na maana kwa dar ni rahisi kufanya biashara maana nina connection pia shinyanga kuna connection ya kufanya biashara .

Kama una external hard disk weka picha hapa [emoji116] au nichek kwa namba hii 0677991687 .

ISIWE NA TATIZO .

KARIBU SANA .
 
Nilikuwa na ps 4 yenye hard disc drive 500gb! Nimeidismantle sasa! Kama upo tayari tufanye biashara! Nipo mwanza
 
Nilikuwa na ps 4 yenye hard disc drive 500gb! Nimeidismantle sasa! Kama upo tayari tufanye biashara! Nipo mwanza
Yes tunaweza fanya biashara nichek kwa namba hii 0677991687 ..
 
Back
Top Bottom