Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani mwenye simu ya haloteli yoyote kutoka shop naomba anicheki tufanye biashara nahitaji kama smart phone Anicheki kwa hii no..0625873353
0 Reactions
2 Replies
954 Views
mnaweza kudelete
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wajivuni show room furniture ni mafundi hodari wa kutengeneza masofa ya aina zote kwa bei rahisi. njoo ujipatie sofa lako sasa. Tupo kawe ukwamani mkabala na masjid ukwamani. au wasiliana nasi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za kazi? Samahani kwa anaeuza line za uwakala TIGOPESA kuna mtu anahitaji na yupo TANGA MUHEZA. Mawasiliano 0715030532.
0 Reactions
6 Replies
928 Views
Nyumba ya kisasa yenye room nne za kulala(pamoja na master) ipo ndani ya fence ikiwa na huduma zote muhimu kama Umeme na Maji inapangishawa,ipo maeneo ya Matembele ya pili kivule mita 200 kutoka...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Nauza 180,000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, ninazo UPS na Printers naziuza kwa bei nafuu UPS ni APC 650 VA na Printers sifa zake ni kama ifuatavyo 1.HP P3015 hii ni Laserjet printer black and white, ina uwezo wa kuprint more than...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO KIBAHA PICHA YA NDEGE KUTOKA BARABARANI KAMA 3.KM NYUMBA INA VYUMBA VINNE KIMOJA MASTER NYUMBA IPO KTK MAZINGIRA MAZURI KAMA MUNAVOIYONA INA UWANJA MKUBWA BEI MAELEWANO...
1 Reactions
1 Replies
997 Views
******the good was sold***********/
0 Reactions
0 Replies
678 Views
*********the device was sold*****
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Kwa wale wenyeji wa kongowe mzinga naombeni msaada
2 Reactions
3 Replies
962 Views
Husika na kichwa cha habari.. Nilinunua line ya ttcl na nikawa naitumia mtandao ulikuwa unasoma vizuri lile eneo nililokuwa naishi . sasa nimehama lile eneo na huku nilipo ttcl ni majanga mtandao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za jumapili. Naomba msaada wa kujua bei na suppliers wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi na mpunga. Naomba pia kwa wajuzi wa eneo hili wanifahamishe brand zipi ndo bora pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau nauza Laini za uwakala vodacom M-pesa na Tigo Tigopesa Laini haijafanya Transaction yeyote we utakayenunua Ndo utaibikiri...kwa Mawasilino zaidi nicheki[emoji117][emoji395] Acha namba yako...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba mwenye mashine ya kuuza ya kufyatulia tofali za Block isiyo ya umeme..!! Awe maeneo ya ubungo anicheki kwenye 0718 922 168/ 0786 437 712
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini za kazi wadau, poleni kwa majukumu. Samahani naomba kujua wapi naweza kupata mashine za kufyatulia tofali za umeme pamoja na mixture
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Camera tajwa inauzwa kwa bei ya 1,000,000sh,iko katika hali nzuri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Used smartphone kutoka Dubai na Europe zinauzwa. Infinix zero 4- bei 400,000/= Infinix zero 4 Plus bei 450,000/= Tecno K7 bei 250000/= Mawasiliano 0715808028.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta soksi za pundamilia. Za mchanganyiko wa rangi ya blue na nyeupe. Au kijani na nyeupe. Kwa bei ya jumla mwenye nazo Tuwasiliane 0714306015 AU pm Naambatanisha na picha za mwonekano wake...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari ndugu. Nahitaji dryer na steamer iliotumika. Budget laki 2. Nicheki kwenye mamba 0712220207.
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Back
Top Bottom