Recommended Sound/ Music System

Terace

Member
Jun 13, 2017
75
98
Habari wana jamvi....

Please to recommend Sound/ Music System ya ukweli nayoweza nunua hapa Bongo land na duka lipi hasa + bei...

The system should support current and future (about +5 years to come) technologies....sio nanunua leo then baada ya mwaka naanza ugulia pesa yangu kwa kuona haisupport the modern interfaces and technologies.

Ila kiukweli nataka kitu ya UKWELI....sometime si unajua unapaswa to live your life sio!

Natanguliwa shukran za dhati.
 
Back
Top Bottom