Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Habari zenu,
Natafuta soko la kuuza mayai kienyeji, mimi ni mfugaji mdogo, kwa sasa kuku wangu wanataga mayai 8-9 kwa siku, bei yai moja ni Tsh 400.
Kwa aliyeko karibu nami naweza kumletea...
Habari ya Jumatatu
Ni hivi, miaka kama 6 iliyopitia nilitengeneza network moja ya kijasiriamali na watu wa nje ya bara la Africa. Nimeshafanya nao shughuli nyingi ambazo baadhi zilitulipa na...
Habari wakuu?
Nauza frem ya bati ya bango la biashara lenye kuwaka taa ndani pamoja na stendi yake. Bango lina urefu wa Mita 2 na Upana wa Cm 80 na unene wa Inch 5" yaani (2m×0.8m×5")
Kwa...
husika na kichwa hapo juu,natafuta chaja orijino ya tekno camon C8 iwe mpya au used bora iwe orijino ya C8 mwenye kujua naipataje aweke na bei kabisa.
Napatikana Dar es salaam.
Habari yenu ndugu natafuta dada wa kazi za ndani awe bint kuanzia miak 18-22 ,sina mtoto naishi kweny nyumb yangu mshahara ni alfu arobaini
Lengo la kusaka dada wa kazi ni kwamba nachoka kufany...
Offer offer offer
vifaranga vya bei bora wa kuku wa kienyeji wa miexi miwili vinapatikana kwa sh 6000
*wamashapewa chanjo zote za mwanzo
*wanastahimili magonjwa
*huhitaji muda mwingi kuwaangalia...
Tunachora michoro ya kila aina na kutoa mafunzo ya softwares.
ANGALIA TANGAZO NA MFANO WA NYUMBA ZILIZOCHORWA HAPA CHINI.
MAWASILIANO; 0766022653 OR mdctanzania1@gmail.com
Habari wana JamiiForum na hususani wale wafuatiliaji wazuri wa jukwaa letu pendwa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Napenda tujadili na vilevile kutoa ushauri juu ya wajasiriamali na...
Tuna fanya promotion za akaunti za youtube na instagram.
Tunafanya promotion locally ikiwa na maana kuwa youtube subscibers, au Instagram followers wako wanakuwa ni Watanzania.
Package zetu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.