Hii ni kwa wale wapenzi wa huawei

Hii ni kwa wale wapenzi wa huawei

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,337
Ni simu bomba kwa bei poa kabisa ukumbuke simu hizi ni mpya Full Box yaani unatoa ganda mwenyewe. Kwa mawasiliano 0652971495

Mate 10: 64gb...1,130,000
Mate Pro 128gb...1,200,000
64gb...1,100,000
View attachment 726610

Mate 9 64gb...960,000
View attachment 726611

Mate 8 64gb...630,000
32gb...580,000
View attachment 726612

Mate 7 32gb...400,000
16gb...380,000
View attachment 726613

P10 plus 128gb...1,150,000
64gb...1,100,000
View attachment 726614

P10......950,000
View attachment 726615

P10 lite 64gb...600,000
32gb...550,000
View attachment 726616

P9 plus 64gb...750,000
View attachment 726617

P9 64gb...600,000
32gb...550,000
View attachment 726618

P8 ........380,000
View attachment 726619

P8 lite...300,000
View attachment 726620

G9.....350,000
View attachment 726621

G8.....330,000
View attachment 726623

G7.....280,000
View attachment 726624

Honor 5x....270,000
View attachment 726625

Honor 4x....250,000
View attachment 726626
 
Simu gani ambayo haidukuliwi?.Tusipumbazwe na wamarekani. Wao ndio wanaongoza kwa udukuaji.Hiyo ni vita ya kimaslahi tuu.
 
Products za Huawei nazikubali sana. Wapo vizuri kwenye mambo ya mawasiliano.
 
Products za Huawei nazikubali sana. Wapo vizuri kwenye mambo ya mawasiliano.
Huu uzi nmesubscribe tayari, simu bomba sana hizi kabla nilikuwa natumia Samsung ikawa inasumbua balaa mwaka 2014 nikanunua huawei mate 7 ninayo mpaka leo haijawahi sumbua chochote mwaka wa nne huu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Huu uzi nmesubscribe tayari, simu bomba sana hizi kabla nilikuwa natumia Samsung ikawa inasumbua balaa mwaka 2014 nikanunua huawei mate 7 ninayo mpaka leo haijawahi sumbua chochote mwaka wa nne huu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Sijawahi juta kuwafahamu Huawei.... huku kwingine tunadanganyana kwa majina yanayotangazwa kila uchao. Huawei is my best product in handsets.
 
Hizi simu zinadukuliwa sana na Wachina kama ulikuwa haujui

Huawei wanatengeneza mitambo ya mawasiliano pia ambayo inatumiwa na ttcl ambao mitambo hiyo ndiyo njia kuu ya mawasiliano Tanzania.Hivyo kuhofia kudukuliwa ni bure kabisa.Hifaa chochote cha elektroni unachotumia kinadukulika.Wadukuaji si wachina pekee kuna wababe wao Warusi,wamarekani nk.hizo nitabia za mataifa shindani na Maadui.
Kumbuka Osama alikuwa hatumii aina yeyote ya elektroni na bado alidukuliwa.
 
Back
Top Bottom