Kuna jamaa alikuwa anataka kuniuzia Lg hd zile zenye king'amuzi ndani alisema yuko tmk ila nilipata samsung maana mimi nilikuwa ninahitaji samsung kwakuwa tv niliyokuwa nayo awali ni lg so nilitaka badiri brand. Alisema anauza 400 so mnaweza kuzungumza kama atakuwa 0713 358 495 hajauza namba niNa mm nataka