Eneo la Biashara soko la Karume linapatikanaje?

Ab5

Senior Member
Dec 3, 2017
151
99
kichwa cha habari hapo juu kinahusika kwa sana
Mimi ni kijana wa miaka kadhaa, nimehitimu chuo kikuu mwaka jana shahada ya Ualimu. lakini kama mnavyoua suala la ajira limekuwa chngamoto kidogo kwa kuwa nchi yetu ipo kwenye transition period kuelekea kuzalisha ajira nyingi hivyo huku nikiwa naendelea na mchakato wa kuomba kazi katika shule za private ambapo sijabahatika kuitwa hata kwenye interview moja lakini naamini ipo siku nitaitwa, Nimeamua nisikae tu nifungue kijibiasahra kidogo

AINA YA BIASHARA
Miamala ya kuweka na kutoa pesa kwnye mitandao ya simu kama vile Tigo pesa, M-pesa, Airtel money, Halopesa N.K


LENGO LA UZI HUU
SEHEMU NILIYOONA INAFAA KWA BIASHARA HII NI SEHEMU AMBAYO INA WATU WENGI HIVYO SEHEMU NILIYOPENDA MIMI NI KARUME LAKINI SIJUI NAMNA AU UTARATIBU WA KUPATA ENEO LA KUFANYIA BIASHARA HAPA>>> SIJUI NIMUONE NANI..... UKIINGIA KICHWA KICHWA WANAKUTAPELI
NAOMABA MWANA JF MWENYE UELEWA AU UZOEFU KATIKA HILI ANISAIDIE AU AMBAYE ANAFAHAMU SEHEMU NYINGINE NZURI TOFAUT NA HAPA NIPO TAYARI PIA


Ni matuaini yangu ombi langu litazingatiwa
wenu katika ujenzi wa taifa
.................
AB5
 
Mkuu Upo Zanzibar? Hilo soko unalosema maana Huku kwetu Makuyun ni porini Sana, kila siku tunalia Na serikal kuhusu tembo kuzagaa na Hata kutishia usalama wa binadam

Juzi kati bodaboda mmoja na watembea kwa miguu wawili wamejeruhiwa baada ya kufukuzwa na tembo hivyo limekuwa ni tatizo sugu sana Hasa nyakati za usiku,tumekuwa tukifanya kazi kwa pressure kubwa sana tukihofia hao wanyama.
 
Back
Top Bottom