korojani
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 231
- 237
Mnajimu na mtabiri maarufu Afrika mashariki Hussein yahya ametabiri mafanikio kwa Jpm mwaka huu na kusema atapata tuzo Kubwa duniani kwa Kazi anayoifanyia nchi ya kusadikika na ameenda mbali zaidi amedai hii hali ngumu imeeisha mwaka jana mwaka huu ni Neema tu wakuu.