Natafuta Soko la Tikiti

Natafuta Soko la Tikiti

Joined
Dec 31, 2017
Posts
88
Reaction score
78
Habari wakuu,

Nina mzigo WA tikiti kama Piece 4000 hivi bado zipo Shamba na tafuta mtu WA kufaulisha.....

Namba; 0787 833 585
 
Nahitaji moja kwa ajili ya familia yangu mkuu. Bei isizidi 2000.


😛😛😛
B-)B-)B-)
 
Habari wakuu,

Nina mzigo WA tikiti kama Piece 4000 hivi bado zipo Shamba na tafuta mtu WA kufaulisha.....

Namba; 0787 833 585
Ukitangaza biashara unapaswa kuweka taarifa za kutosha

1.Picha ya bidhaa
2.Bei ya kuanzia
3.Eneo bidhaa ilipo
 
Masoko mbona mengi tuu, fika tandika hapo, Ilala au hata buguruni sokoni, hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom