Upo mbeya mjini ya wapi? sai, soweto, mwanjelwa, forest mpya, forest ya zamani, iwambi, nzovwe, uzunguni, uhindini, sokomatola au sehem gan? maana hzo location zina'detarmine utoe wapi tofali. bei ya tofali ni tsh 150/-.
Kiwanja kipo Nonde Juu karibu na kata ya ghana