Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 736
- 1,653
Habari wakuu, poleni na majukumu. Nipo hapa kwa niaba ya jamaa zangu walio na kikundi chao kinachohusika na ufugaji nyuki kwa ajili ya asali. Kwa msimu wa mavuno wa mwaka huu unaotarajiwa kua na mwezi mei wanatarajia kuvuna asali kiasi cha kati ya lita 4000 hadi 6000 kwa awamu mbili. Hivyo wameniomba niwatafutie soko la hiyo bidhaa yao kwani mtu waliyekua wakimtegemea hayupo nchini na hajishughulishi tena na ununuzi wa asali.
Asali yao ni mbichi kabisa na ni ile ya nyuki wakubwa japo ukihitaji ya nyuki wadogo wanaweza kukutafutia kutoka kwa wafugaji wenzao wanaofahamiana nao iwapo itakua ikipatikana kwa urahisi. Asali hiyo inazalishwa katika maeneo mawili; mkoani Katavi na wilayani Mbozi mkoa wa Songwe.
Wakati wa mavuno bei yao ya mauzo ya jumla(wholesale) inatarajiwa kuwa kati ya shilingi 17,000/=hadi 12,000/= kwa lita na itauzwa kwa kuanzia lita 50 na kuendelea kutokana na bei ya soko pamoja na masuala ya usafiri yatakavyokua.
Kwa wale wanunuzi wote watakaokuwa wanapatikana katika maeneo yanayopitiwa na barabara za T9 (MPANDA, SUMBAWANGA hadi TUNDUMA) pamoja na wale waliopo katika maeneo yanayopitiwa na barabara ya TANZAM (yaani kuanzia Tunduma, Mbeya, Iringa, Morogoro hadi Dar) hao wote watafanyiwa free delivery alongside the road. Pia hata kama unafahamiana na makampuni au watu wengine wanao nunua asali kwa bei ya jumla ninaomba utusaidie mawasiliano yao au kutuunganisha nao. Kwa maelezo na maswali zaidi wasiliana nami kwa namba ya simu 0679861325 AU 0755092655