Natafuta soko la mihogo

anganga

Member
Jun 6, 2014
96
87
Wadau naomba kupata msaada wa soko la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.
 
Wadau naomba kupata msaada wa solo la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.
Soko ... edit title plz
 
Wadau naomba kupata msaada wa solo la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.

Hiyo mihogo ipo wapi na una uzaje?
 
Mbona masoko yapo mengi kwani upo mkoa gani, mkuu?... mimi nimeshauza Tayari wiki 3 zilizopita. na unalipa vizuri sana. Kama upo Wilaya ya Rufiji ni pm, vijana watakuja huko huko mashambani.
wananunuaje hao vijana wakija shamba? Mm niko mkuranga nina muhogo mwingi tuu..
 
xfactor habari mkuu, sijaanza hata kulima ndo kwanza nataarisha shamba sasa si unajua lazma nikusanye data kamili kabla.nijue masoko pia kwangu masoko ni muhimu sana.
 
wananunuaje hao vijana wakija shamba? Mm niko mkuranga nina muhogo mwingi tuu..

upo Mkuranga?.. mbona wananunuzi wengi wanatoka Mkuranga?... na nakumbuka wiki hii niliwabebea muhogo kwenye gari yangu na wakati narudi wengine niliwakuta Mwarusembe pia wakapakia muhogo niawashushia pale mti pesa-MKURANGA PALE KITUO CHA MJINI nafiri nimesahau jina sawa sawa ila ni barabarani mazao yangu mengine nikapeleka sterio. Mkurima mwenzangu jitahidi tuende na wakati huwe na Angalau Town Ace ya Town 1 au Canter ili upeleke mazao mwenyewe sokoni. Fika pale Mti-pesa stand ya dala dala za mjini wapo wanunuzi wengi wa muhogo. kwa Rufiji Tenga 20,000/=
 
Mara nyingi wanunuzi wa muhogo mbichi ni madalali ambao hununua kwenye kipimo cha gari. Ni vyema ujaanza kuuza sasa ili mwezi mtukufu ukukute ukiwa sokoni
 
Mbona masoko yapo mengi kwani upo mkoa gani, mkuu?... mimi nimeshauza Tayari wiki 3 zilizopita. na unalipa vizuri sana. Kama upo Wilaya ya Rufiji ni pm, vijana watakuja huko huko mashambani.
Habar bro ..mm nataka nianze kwenda kuichukua kwa wakulima ..na wanauza nusu eka mpka lak tatu ...bugurun wanauza rejareja ila nataka nifahamishwe soko la uhakika liko WAP ..me s mkulima ila nanunua kwa wakulima shamban
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom