EMMANUEL JASIRI
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 151
- 84
Nakumbuka nikiwa Dar es Salaam, maeneo ya karakata jirani na uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere, chumba nilicho kuwa naishi kilikuwa na utitiri wa mbu ambao walikuwa wana shambulia sana, umekaa popote hawakuachi mpaka wakudunge sindano yao.
Siku moja nikapita Kariakoo nikakuta kuna mashine ya kuweka vipande vya dawa ya mbu ambayo huichoma hiyo dawa ili kuwadhibiti mbu na kuwaua, nikaambiwa itanifaa, ukizingatia nilikuwa nimezichoka kero za mbu nilijukuta nikinunua ile mashine haraka sana bila kuuliza uliza maswali mengi, lakini ndugu yangu msomaji ukweli ni kwamba ile mashine haikunisaidia chochote zaidi mbu waliendelea na ule ule mchezo wapo wa kunishambulia na kunidunga sindano.
Nikaja Dodoma nikapa mahala pa kuishi penye utitiri wa mbu kama uleule wa Dar, nikatumia jitihada nyingi kudhibiti mbu hao lakini bila mafanikio ya uhakika.
Siku moja nikamsikia Mtu mmoja akisifia mashine kama ileile ambayo mimi niliitumia Dar es Salaam bila kupata mafanikio yoyote hapo nikawa sielewi nikajiuliza inakuaje kwamba ile mashine kwangu isidhibiti na kuua mbu ila kwa wengine iwafae?
Nikaamua tena kuthubutu kwa mara nyingine kununua mashine nyingine ya mtindo huo huo pia matokeo yakawa yale yale mbu wakaendelea na kazi zao kama kawaida bila kudhurika kabisa.
Sasa ndipo nikaamua kuzisusa kabisa hizo mashine nikaamua kutumia dawa za kuchoma kwa kiberiti au mkaa, sikutaka kujihusisha na hizo mashine tena.
Baadaye nikawa nimejihusisha na usambazaji wa dawa za mbu za kuchoma maarufu kama Shenke toka China, sasa nikiwa naziuza wateja wakaanza kunipa order wanazitaka zilezile mashine ambazo mimi mwenyewe hapo awali nimezitumia bila mafanikio.
Wateja wengine nikawaambia kuwa zile mashine waachane nazo hazifai maana mimi nimezitumia bila mafanikio hivyo nikakataa kuwaletea, lakini wateja wengine waliniamuru ni wapelekee hivyo hivyo na nikawapelekea kwa sababu walitaka ila mimi sikuwa na imani nazo kabisa kabisa.
Nakumbuka siku moja mteja mmoja wa ambaye hapo awali aliagiza nikakataa kumpelekea niki hofia kuwa hazifai naye akanipa order kubwa nikalazimika kuzifuatila na kumpelekea, ndipo kwa mara nyingine nikapata wazo tena la kuthubutu kwa mara nyingine yaani mara ya tatu kuitumia ile mashine.
Nikaichukua nikaifungua nikaweka ile dawa ya mbu baada ya dakika kadhaa, nikaona mbu wanahangaika na kuomboleza na wakaanza kukimbia chini kukimbilia juu, nakumbuka kwa sababu ya joto nilikuwa kifua wazi mpaka nalala bila net sikuguswa na mbu mpaka inafika asubuhi naona wanakufa mpaka inzi mpaka sasa napo andika ujumbe huu kwangu ni salama salimini.
Baada ya mafanikio ilinibidi nifanye uchunguzi kujua tofauti ya mashine ya awali ni hii ni ipi? Nikaagundua kuwa zile mashine zote zinafanana kwa muundo wa umbo na rangi ila zinautifauti katika kichomeo chake na sasa imekuwa kazi yangu kuziuza na wateja wangu hawanipi lawama zaidi wananiunganisha na wateja wengine.
Nini neno langu, Tanzania tuna changamoto toka kwawWafanya biashara wenye mitaji mikubwa ambao sio waaminifu, mara inapoingia sokoni bidhaa ikawa nzuri na kivutio kwa wateja wao huenda China na kwingineko kutengeneza fake.
Kwa habari ambazo nimezipata ni kuwa wakienda kule wanaulizwa kati ya fake na original nikupe ipi baadhi yao husema nipe fake, maana fake wanaipata kwa gharama nafuu, lakini kumbuka kuwa fake wanaiunda kwa umbo lilelile la original kiasi kitofautisha ni kazi ngumu sana.
Bidhaa zinaporudi sokoni kwa mara nyingine wateja wanaanza kuzishangaa maana hazifanyi kazi kama zile walizo nunua hapo mwanzo, ndio hapo nasema acha Rais Magufuli awe mkali tu maana akiwa mpole nchi hii haita piga hatua yoyote, acha asimamie ili dhuluma hii isiwepo na MWENYEZI MUNGU AMJALIE NGUVU ZA KUTEKELEZA.
Mimi kama mjasiriamali{machinga mtaani ili niweze kuuza zaidi napaswa kuwauzia wateja bidhaa bora za uhakika ili kesho na kesho kutwa wakiniona wanunue tena na kunitangaza kwa wengine ndio maana nalilia bidhaa original sokoni maana fake inaua soko kwa kuninyima ujasiri kwa wale niliowauzia. Nimejifunza kufanya utafiti wa ubora kabla sijapeleka bidhaa sokoni.
KWA MAHITAJI YA MASHINE ORIGINAL ZA KUDHIBITI NA KAUAMIZA MBU WASILIANA NAMI
Mimi na Machinga wa muda mrefu mwenye uzoefu katika soko la kusambaza bidhaa mtaani,najua namna ya kufanya utafiti ili kugungua bidhaa inayo faa au isiyo,pia Ni Muasisi Jasiria Enterprises iliyo sajiwa mwaka huu kwa lengo la kuwafundisha vijana umuhimu wa kufanya kazi halali bila kubagua na hasa mbinu za kutembeza bidhaa na kufanikiwa kuziuza,ambapo yule anayejiunga nasi tunamfunza na kumfanyia majaribio bila kujali kiwango chake cha Elimu kama anafaa katika kitengo cha masoko na mauzo tutampa kazi huko,na yule anayefaa ofisini kama mtunza stoo au mhasibu tutamweka huko baada ya kufundishwa na kufuzu vigezo.
Ujasiliamaliwetu pia una malengo ya kutengeza bidhaa mbalimbali na kuziuza,pia kununua na kuuza bidhaa za aina mbalimbali. Wazazi ambao mna watoto ambao wapo nyumbani bila kuwa na kazi ya aina yoyote,endapo utamshawishi mtoto akajifunza kwetu ujasilia mali akifuzu tukampa kazi ndipo tutaingia mkataba na wew mzazi kukulipa Tshs Elfu kila mwezi kutokana na kazi anayoifanya mtoto wako kwetu, ninaomba wazazi mlete watoto wajifunze kazi za kijasiria mali.
{Fomu za maombi ya kujiunga zinapatikana kwa Tshs 3,000[elfu tatu] tulipo jisajili tulikuwa Dodoma Nzuguni kwa masista.
Sasa tupo Kisasa Meriwa jirani na kanisa la EAGT Jerusalem Church hapa DODOMA tukiwa na malengo ya kusambaa mikoa yote ya Tanzania.
Kwa mahitaji ya Mashine za mbuzinauzwa Tsh 3,000 na dozen 25,000 kama upo nje ya DODOMA usafiri ni juu yako.
Na kwa Mafunzo na Kazi za kijasilia mali Tuwasiliane kwa namba 0768977816
Nilipoinunua DAR ES SALAAM HAIKUNIFAA CHOCHOTE