Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Bajeti yangu ni laki 3. Iwe inchi 32 brand name yoyote ili mradi nzima na kwenye hali nzuri kabisa ingawa mpya pia itapendeza zaidi!! Vyuma vimekaza na...
Naitaji kufahamu maeneo ambayo naweza kupata apartment hapa Moshi mjini iwe na vyumba vitatu vya kulala sitroom dining jiko na vyoo vya ndani kwa kifupi iwe self contained
Nifahamishwe garama kwa...
Jipatie accessories mbalimbali za simu kama earphones
usb cables,
samsung fast charger,
covers,
iphone earpods,
Memory cards
Na simu kama vile iphone 6, 6+,7, 7+
Call kwa mawasiliano zaid...
Kama kichwa cha habari kilivyoeleza mm nahitaji kupaua nyumba ya vyumba vitatu na sebule,kwa kwa vipimo vya fundi kanishauli nitafute kama bati 70 hivi, na khari yangu kwa kununua bati hizo kwa...
Ndugu wanajamvi,
nina kampuni ya Electromechanical kulingana na changamoto nilizopitia nimeona ni jambo zuri na wakati muafaka kupata wanahisa wengine kutoka popote pale katika uso wa dunia.
Watu...
Kwa wale wote ambao wanataka kumiliki viwanja(Vilivyopimwa &au visivyopimwa - squater) kwa ukubwa wa aina yoyote...maeneo ya kibada,mji mwema,gezaulole,Tuangoma,Vijibweni , kis arawe....etc piga...
Kwa wale wote ambao wanataka kumiliki viwanja(Vilivyopimwa &au visivyopimwa - squater) kwa ukubwa wa aina yoyote...maeneo ya kibada,mji mwema,gezaulole,Tuangoma,Vijibweni , kis arawe....etc piga...
Habari za majukumu:
Nyumba ambayo haijakamilika inauzwa ipo KITUNDA (banana)
Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko, na choo cha ndani.
Ukubwa wa Eneo; square meter 484...
Habari wadau,
Kwa yeyote ambae analima ufuta au anafahamu mkulima mkubwa wa ufuta naomba tuwasiliane. Nanua kuanzia tani 1-10 kwa mkupuo. Uwe ni ufuta wa mbegu nyeupe. Aksante. Contact 0686475955
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.