Nauza kiwanja changu

Nauza kiwanja changu

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
670
Nauza kiwanja changu kipo mbagala msongola kinasifa zifutazo
Ukubwa miguu 20 *20
Kipo pembezoni na bara bara ya mtaa
Huduma za afya na shule zipo karibu
Kipo tambarale kabisa
Umeme upo
Maji yapo karibu
Bei m 3.2 unaruhusiwa kuzungumza maana mim ndo muhusika.
tapatalk_1520852744421.jpeg
 
Kutoka mbagala kuu kwenda huko nauli sh ngapi kwa daladala Na bodaboda
 
Kiwanja kipo mkoa wa daresalaam,ukifakia mbagala unapanda gari za kwenda chanika au unashuka msongola au kama utaunga unapanda za mbande pale unachukua za chanika au unachukua boda boda pia unafika.karibuni
 
Nauza kiwanja changu kipo mbagala msongola kinasifa zifutazo
Ukubwa miguu 20 *20
Kipo pembezoni na bara bara ya mtaa
Huduma za afya na shule zipo karibu
Kipo tambarale kabisa
Umeme upo
Maji yapo karibu
Bei m 3.2 unaruhusiwa kuzungumza maana mim ndo muhusika.View attachment 737169
KILA SIKU TUNAWAELIMISHA UKITAKA KUTOA VIPIMO VYA KIWANJA WEKA KWENYE MITA,HATUA SIO STANDARD MAANA KUNA HATUA ZA HASHIM THABIT NA EMOLO WA PEPE KALE.
 
KILA SIKU TUNAWAELIMISHA UKITAKA KUTOA VIPIMO VYA KIWANJA WEKA KWENYE MITA,HATUA SIO STANDARD MAANA KUNA HATUA ZA HASHIM THABIT NA EMOLO WA PEPE KALE.
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri
 
Ninaposikia mtu anauza asset Kama Kiwanja ninaumia sana
Usisikitike kuuza na kununua hakutaisha hadi mwisho wa dunia. Hata leo kama una pesa na uhitaji unapata kiwanja/nyumba posta/dsm au katikati ya paris, london etc. Ndio maana halisi ya asset. Usiogope kuuza kama kuna profit na una mipango mbadala
 
Anayeuza kwa profit sina neno mkuu.
 
Ipi ni bei halisi kati ya 3.2 na 3.3 ya kwenye post ile nyingine?

Kama wewe ni mmiliki mbona bei zinacheza cheza?Au dalali bwana wewe?
 
Ipi ni bei halisi kati ya 3.2 na 3.3 ya kwenye post ile nyingine?

Kama wewe ni mmiliki mbona bei zinacheza cheza?Au dalali bwana wewe?
Nawewe unaeyumba sababu ya
Laki moja si mnunuzi si lolote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom