habari wapendwa .kama kichwa cha habari kinavyoeleza tunapaua nyumba mitindo yote na pia tunapaua kwa viungo vya makuti hii mara nyingi inatumika lodge nk. tupo arusha.0683 655115
SIFA:
• Ni inch 17 ( 17')
• Model Rs 1707
• Mpya imetumika miezi 6, haina tatizo lolote.
√ Ipo Dar Es salaam
√ Bei Tshs 160,000
Tuwasiliane : 0675 107182
Nauza sofa la ngozi la mtu mmoja kwa bei ya 150,000 tu
Halina ubovu wowote wala mchubuko wowote liko vizuri
Nipo Dar es salaam, kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0693289203
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Inahitajika gari ndogo kati ya aina hizi;
Toyota duet,daihatsu terios kid daihatsu,Vitz au gari kama hiyo,namba B
Kama Ipo njoo PM nikupe mteja,Gari iwe Dar es Salaam
Karibu Sana
Nauza ndimu jumla chede kwanzia 5 25,000
Kesho mzigo upo
Namba zangu ni 0719818147/ 0687365045
Napatkana mtoni kwa azizi ally leo napokea oder mwishoi saa kumi nambili jioni
Habari wana Jamii Forums, ninaomba msaada kwa anayeuza au kujua nakoweza kupata Tyre ya pikipiki size 180/55 ZR 17. Najua humu kuna wafanyabiashara na wajuzi wa hizi bidhaa. Ahsanteni.
Friji kubwa kabisa used aina ya Samsung yenye milango miwili inauzwa kwa bei nzuri tu ya shilingi laki 450,000/= pia mazungumzo yana ruhusiwa.Friji bado ipo kwenye hali kabisa.Kwa serious buy...
Wadau NATAFUTA KIWANJA ukubwa 30×30 m sio hatua Kati ya Kwa Mwingira ,mjimwema mpaka Ungindoni , kuwa na Barabara ya gari umeme jirani simu yangu 0752334403.
core i5
ram 4gb
hdd 500gb
21.5 inches
Used kwa miezi kadhaa lakini bado iko safi haina tatizo lolote.
Bei 1.6 milion
Picha zinagoma upload anayehitaji kuona anitxt kwenye namba 0758358580 whatsapp...
Nauza shamba heka 1, lipo Boko Mnemela-Kibaha. Eneo lipo umbali wa 8km kutoka shirika la elimu kibaha na linafaa kwa ujenzi, ufugaji na kilimo. Halipo mbali sana na barabara inayounganisha Kibaha...
Pichani ni asali ya nyuki wadogo halisi kwa asilimia 100
Ukitaka kupima kabla hujachukua ni sawa
UKITAKA KUJUA UHALISIA
>chachu
>nyepesi
>rangi ya kahawia
MWENYE kuhitaji 0683936934
Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.