Kwa wale wote ambao wanataka kumiliki viwanja(Vilivyopimwa &au visivyopimwa - squater) kwa ukubwa wa aina yoyote...maeneo ya kibada,mji mwema,gezaulole,Tuangoma,Vijibweni , kis arawe....etc piga no. 0713/0783 012 060...Yusuph !
Nauza kiwanja changu mwenyewe chenye nyumba ya underground ambayo bado haijakamilika pamoja na msingi wa nyumba ya juu (Ramani ya kisasa kabisa). Eneo ni salasala kilimahewa Dar Es Salaam karibu na maliasili lenye ukubwa wa meter 22 kwa 24. Linafikika kwa usafiri wa gari na hata kwa miguu. Umbali ni nusu kilomita tu kutoka barabara ya lami ya Salasala. Bei ya kuanzia ni 16M pungufu tunaweza kuzungumza, piga 0687634408.
Mimi ni mmiliki siyo dalali, Nina documents zote za kuthibitisha umiliki wangu na ninatambulika na majirani, uongozi wa kata na serikali ya mtaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.