Abayesu bayesu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 119
- 124
Habari za jioni wanajamvi
Niliona wale SUMA JKT kwenye TV wanatengeneza miradi ya ufugaji samaki kwenye matenki ni technologia nzuri niliipenda ila bahati mbaya hawakuweka namba zao za simu naomba ambaye anamawasiliano nao anisaidie au Kama wapo wahusika wanisaidie mamba zao inbox
Asante
Usiku mwema