Viwanja vyenye hati vya makazi kando ya mradi wa magari Kigamboni vinauzwa ,bei kuanzia mil 4.4 na kuendelea ,malipo kwa awamu hadi miezi 6b Wasiliana nasi kwa namba 0773833383 au fika ofisini...
Kwa yoyote mwenye mpango au lengo la kujenga karibu Yabesi Consult Co Ltd upate ushauri wa namna bora ya kujenga kuanzia gharama za ujenzi, aina ya ramani, gharama za vifaa, namna ya kupata...
Habari wana jukwaa!
shamba lenye lenye ukubwa wa hekari 17 LINAUZWA.
Shamba lipo mkuranga ( pwani region) kilometers 43 kutoka stand ya Mbagala rangi 3. ( nauli mpaka shamba ni tsh 2000)
Kituo...
Habari wadau: Nauza eneo langu binafsi ekari 2.5, lipo chalinze bwawani, umbali kutoka barabara ya lami ni mita 300 lipo katikati ya makazi ya watu, access ya umeme ipo na maji, eneo limepakana na...
HABARI WANA JF .NILIKUA NAOMBA MSAADA WAPI INAPATIKANA MIAMVURI YA BIASHARA KWA DAR AU MORO AU KAMA MTU ANAUZA BASI ANIAMBIE NIWEZE ICHUKUA KAMA HUO KWENYE PICHA
Wakuu habari za weekend. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kiimfaacho mtu chake. Nauza Nyumba yangu ambayo haijaisha.
Sifa za Nyumba/pagale
-Ni Vyumba viwili, katikati ndio kuna sebule.
-Pagale...
Mahali:Malamba Mawili lami mpya ya kinyerezi km 6 toka Morogoro Road
Ukubwa wa eneo ni sqm 400
Bei 15 Million(haipungui)
Nyumba mpya
Vyumba 3 moja master, sebule, dinning na public na chemba...
Wakuu,
Naombeni msaada wenu.
Wapi nitapata bales za viatu vya mtumba vya kike/ kiume kwa bei nzuri.
Viatu viwe bora, nimefanya ka-research na kugundua ya watu wengi wanavaa viatu vya mtumba...
Mi ni mpenzi sana wa music hasa old schools. Napendelea sana music kutoka afrika na kidogo amerika hasa music wa miaka ya 70's, 80's na 90's. Cha ajabu nafurahi sana music huo nikiusikiliza...
HABARI WANAJAMII FORUM
Nipende kuwajulisha kuwa tunasambaza mahindi kwa ya unga TANZANIA
MAWAKALA WETU
DAR - ES-SALAAM
MWANZA
ARUSHA
SONGWE
Bei 55000 /=@100kg Sawa na gunia
USAFIRI - BURE...
Wakuu,nyumba yangu inavuja sehemu nyingi sana.Mabati yake ni ya migongo kutoka ALAF ya Africa kusini.Niliezeka 2011,mwanzo hayakuniletea shida Ila baadae yakaanza kuvuja.Sasa natafuta wataalamu wa...
Wakuu habari za leo.
Nina conteiner langu nafanyia biashara ya duka na pub. Mbezi ya Kimara. Natafuta kampuni za vinywaji, sigara au bidhaa mbalimbali mbali waje kuchora kwaajili ya kutangaza...