Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama unahitaji Viwanja Goba & Goba Kinzudi tuwasiliane 0675107182. Vipo Vya Ukubwa tofauti kuanzia, Square Mita 400 na Kuendelea. 400Sqm Kipo Cha Kuanzia 15 Milioni na 10 Milioni . ***** Your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The fast growing company in Town is near to you, You may request health and good food services from us. We made the Test your dreaming to meet one time. Our company is offer Lunch and Dinner you...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Habari za leo wadau? Naomba kama kuna mtu anaifahamu dawa ya kupaka mbao za kuezekea nyumba anifahamishe tafadhali. Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wadau. Kama kichwa kijielezavyo hapo juu, ninaomba msaada kwa anayejua soko la kuuza asali. Ninayo asali kwa wingi ya nyuki wakubwa lakini tatizo ni soko sijui niipeleke wapi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
100g - 3000,250g - 7500, 500g - 15000. Karibuni. Weka oda yako mapema mzigo unaupata kwa wakati..Mikoani pia nasafirisha. Zimepakiwa kabisa.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza eneo la karibia heka 2 karibia Kigongo ferry-Mwanza liko barabarani,bei ni sh 10,000,000.mawasiliano 0758708286
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Ukubwa wa Kiwanja : 20 × 18 ( Sqm 360 ) • Kina hati ya Serikali ya Mtaa • Kipo Kilomita 1 Kutoka Salasala Mwisho wa rami. • Bei Tsh 8,000,000 (( 0685917621 ))
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Kiwanja Kimepimwa Kina hati. Ukubwa wa Kiwanja ni 3500sqm ( ekari 1 Kasoro ) Kipo Kilomita 2 kutoka Salasala Mwisho wa rami. Bei Tsh 40,000,000/- ( Maelewano yapo ) ((( 0685917621 )))
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu! Naomba msaada wa kupata designer mazuri wa suti lakini pia mshonaji mzuri, Kwa yeyote anayemfahamu naomba unipe taarifa zake kuna offer ya kushona na kudesign nzuri hapa. Ahsanteni...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Kama unaujenzi maeneo ya Dsm na Pwani na Morogoro kwa wale wa Jumla na rejareja na mikoa mingine kwa Jumla tu, jipatie hizo bidhaa hapo juu kwa bei nafuu kabisa. Tunakufikishia mpaka mlangoni au...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
mwasi electronics tuna lekebisha vifaa vya umeme kama tv ainazite redio sabu ufa spika redio za magari ainazotetunafunga mziki kwenye magari tunafunga kamera za ulinzi maoficni godown nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Kama utangulizi unavyojieleza wakuu..mwenye line ya tigo pesa anipm, dau langu 130000.
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Habari wakuu Naomba msaada wa kufahamu kama kuna mtu anauza hizi bidhaa au anapajua zinapopatikana itakuwa vizuri sana akinisaidia maelezo#Bei.Ahsanteh Matumizi;Ni dye kwa ajili ya nguo mf.Jeans...
1 Reactions
2 Replies
897 Views
habari nauza samsung galxy note 2 32gb nipo bukoba,kwa yoyote anaeitaji nitafute hapa 0752157884
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Ninauza Marine Boards, zimetumika mara moja. Zipo Goba, Dar es Salaam.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Bajeti yangu ni laki 3. Iwe inchi 32 brand name yoyote ili mradi nzima na kwenye hali nzuri kabisa ingawa mpya pia itapendeza zaidi!! Vyuma vimekaza na...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
Ni bado vipya, vipo kwenye box, complete set. Bei 120,000 vipo Dar. 0629305513
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama upo Mwanza niambie gharama zake
0 Reactions
4 Replies
845 Views
worldpress
0 Reactions
6 Replies
832 Views
Ipo Dodoma, bei 70,000/=
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom