Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 138
Wakuu,
Naombeni msaada wenu.
Wapi nitapata bales za viatu vya mtumba vya kike/ kiume kwa bei nzuri.
Viatu viwe bora, nimefanya ka-research na kugundua ya watu wengi wanavaa viatu vya mtumba ambavyo ni quality.
Wangi hawamudu kununua viatu vipya ukiachilia mbali vya Mchina ( bei nafuu lakini hakuna ubora).