Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ukubwa,ni 37M kwa 17M bei unaweza kunipa hata laki 3 tu Kipo Mwamagigisi njoo Pm nikupe mawasiliano
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Nataka kuuza mabelo ya mtumba kwa jumla .wapi ntapata mzigo wa jumla namimi niweze kuuza jumla. Naomba mwenye taatifa ya bei za jumla nguo nziro zisizo chakachuliwa Na mtaji kiasi gani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna shamba kama eka 4 Madale Dar es salaam, nafanya kilimo cha mboga mboga na ninatarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kisasa. Kuna Banda la kuku, Nyumba za kuishi wafanyakazi, Kisima kirefu na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Na PC Dell Latitude E4310 inauzwa Specifications Core i5 Ram 8GBs HDD 500GBs Tatizo battery bovu... Price 290K Contacts Call/WhatsApp 0675 425 148 Dar es Salaam.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomben mnsaidie WAP naweza kupata huku Nyanda za juu kusin asanten.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta wa kubadirishana nae simu ninayo galaxy j7 nahitaji iphone 6s. #dm #negotiable
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Nina shamba ekar 3 nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji. Lipo karibu na mto mkubwa.. Nataka kulima mboga mboga nafuta mdhamini atakae nisaidia vifaa vya kilimo.. Npo mbeya mjini Msaada jamani
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Wanajamvi Salaam; Nahitaji tv yenye ukubwa tajwa aina yoyote,isiwe imechoka sana! Bei maelewano..! Mwenye nayo atume picha hapa na bei halafu aje inbox aweke number ntampigia! Nawasilisha!!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini, Ni kweli wananchi wa Afrika hawana nguvu juu ya usimamizi wa sheria za nchi zao kwani Serikali za Kiafrika zinakandamiza haki za wafanyakazi kiasi kwamba Mfanyakazi anathaminiwa pale tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu Naomba kuuliza kwa Dar es Salaam chuo gani kizuri cha ufundi, ufundi cherehani, upambaji au maswala ya saloon.?! Wanapokea watu wenye qualification zipi Na huwa wanaanza mwezi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari ya Majukumu Tuna tafuta business partner, kwa ajili ya kuwekeza kwenye kiwanda cha Kuassemble magari, kwa kutumia brand yetu. Namaanisha kiwanda cha magari hapa Nchini, kwa kutumia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanabodi! Kila ndoto ya mzazi ni kutaka mtoto wake aje kuwa na mafanikio makubwa baadae katika maisha yake,ndio maana wazazi wengi wanajibana kuhakikisha watoto wao wanapata Elimu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau; Ninahitaji msaada kwa ambaye ni dereva wa malori yanayotoka arusha kuja dar yakiwa bodi. nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha kitanda 5 by6 na godoro pamoja na sofa ya watu...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Viwanja vyenye hati vya makazi kando ya mradi wa magari Kigamboni vinauzwa ,bei kuanzia mil 4.4 na kuendelea ,malipo kwa awamu hadi miezi 6b Wasiliana nasi kwa namba 0773833383 au fika ofisini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa yoyote mwenye mpango au lengo la kujenga karibu Yabesi Consult Co Ltd upate ushauri wa namna bora ya kujenga kuanzia gharama za ujenzi, aina ya ramani, gharama za vifaa, namna ya kupata...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Habari wana jukwaa! shamba lenye lenye ukubwa wa hekari 17 LINAUZWA. Shamba lipo mkuranga ( pwani region) kilometers 43 kutoka stand ya Mbagala rangi 3. ( nauli mpaka shamba ni tsh 2000) Kituo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau: Nauza eneo langu binafsi ekari 2.5, lipo chalinze bwawani, umbali kutoka barabara ya lami ni mita 300 lipo katikati ya makazi ya watu, access ya umeme ipo na maji, eneo limepakana na...
1 Reactions
5 Replies
956 Views
HABARI WANA JF .NILIKUA NAOMBA MSAADA WAPI INAPATIKANA MIAMVURI YA BIASHARA KWA DAR AU MORO AU KAMA MTU ANAUZA BASI ANIAMBIE NIWEZE ICHUKUA KAMA HUO KWENYE PICHA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za weekend. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kiimfaacho mtu chake. Nauza Nyumba yangu ambayo haijaisha. Sifa za Nyumba/pagale -Ni Vyumba viwili, katikati ndio kuna sebule. -Pagale...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom