NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,665
Habari wana jukwaa!
shamba lenye lenye ukubwa wa hekari 17 LINAUZWA.
Shamba lipo mkuranga ( pwani region) kilometers 43 kutoka stand ya Mbagala rangi 3. ( nauli mpaka shamba ni tsh 2000)
Kituo cha kushuka ni mwalusembe na lipo karibu kabisa na barabara lami ( meter 800 kutoka kilwa road)
Huduma zote zinapatikana (Maji, umeme, zahanati na barabara)
ZIFUATAZO NI MALI ZILIZOPO NDANI YA SHAMBA
1. kuna nyumba mbili walizokua wanaishi wahudumu wa shamba.
2. Kuna banda kubwa la kuku
3. Kuna kisima kilichounganishwa na pump ya maji pamoja na tank la maji.
4. Kuna mipira ya maji iliyotandazwa kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji.
5. Na mwisho kabisa hekari zote 17 zimesafishwa ( zinalimwa) hivyo hakuna visiki wala pori.
Shamba LINAUZWA lote kwa hekari 17 (halikatwi kwa portion)
Sababu ya kuuza kwa mmiliki ni masuala yake binafsi ya kiuchumi.
Bei: 60m
Committed buyer you may contact
Via +255 756 832833
See the attachment below