OFA! OFA! OFA!
Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
Kutengeneza simu za aina zote
Kutengeneza kumpyuta za aina zote
Kuweka...
Wakuu, mchwa wamevamia sehemu ya dari la geto langu ambapo upande huo sikutumia mbao ambazo ni treated. Naombeni mnipe ushauri nitumie mbinu gani waweze kuangamia. kama kuna dawa ya sumu ya kuwaua...
Kwa mtu yoyote anayeuza mahindi ninanunua nipo dar bei ya kilo kwa sasa nanunua tani moja kwa laki mbili (200,00)
Yaani kilo kwa 200
Mawasaliano 0719076235, 0769825138
Tally ERP 9 is the most recent version of products from M/s. Tally Solutions Pvt. Ltd. This is an exceptional accounting and inventory management software that facilitates quick and effective...
Habari wanaJF,
Naomba kujuzwa kwa wale wakazi wa Jiji la Dodoma ninaweza kupata kiwanja ambacho bei yake ni chini ya Mil. 1 hata kama ni shamba?
Eneo nauli kutoka mjini isizidi 500, au kwa namna...
...Wanajamii F,nauza viti vya plastic,vyeupe viko 100pcs..kila kimoja @11,000/- tu..!
Nilivinunua kwa ajili ya kuvikodisha kwenye shughuli mbali mbali ila sasa nimehamia sehemu nyingine,ni kama...
Habari za majukumu ndugu zangu wana JF ,kama title inavyojieleza,naomba msaada wa kupata gari ya bei ndogo (used). Nahitaji usafiri wa mambo yangu ya hapa na pale. Mwenye kuweza kunisaidia...
Habari,
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Mimi nipo Dar, ni mfanyabiashara mkubwa wa kusambaza maziwa aina ya Tanga fresh na Asas.
Kwa sasa nahitaji kukuza zaidi biashara yangu kwa...
Kwa sasa tunatoa huduma
za kuweka windows 8,7,starter.xp ..linux series kama Ubuntu
Tuna unlock modem
tunatoa unlimited internet kwa elfu kumi 2
piga voda 0753932250...
Wasalam wanajamvi,kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mafuta makali kwa ajili ya kusafishia madumu yaliyokuwa yamewekwa gundu anayefahamu anijuze mahali napo weza ya nunua
Habari wanajamii forum, naitaj kupata msaada kwa mtu alie mwanza anielekeze mahali napoweza kupata samaki wabichi kwa bei nzur nataka nianze biashara hiyo nanunua na kuwakaanga arafu nauza sina...
Habari wandugu
Naomba msaada wa kujulishwa sehemu nitakayoweka kupata aina hii ya sabuni (shaza soap) kwa bei ya jumla hapa dsm , mi napatikana ubungo riverside
Nina usafir binafsi nasafir kutoka mbeya kuelekea dodoma , nahitaji watu sita wa kupiga nao story njia kwa bei rahis watakayonichangia mimi
Mbeya mpaka iringa 10000
Mbeya mpaka dom 18000...
Wadau naomba kujuzwa bei ya cement nikiinunua direct kutoka kiwandani.
Au kama kuna mfanyabiashara wa cement naomba aje PM tuongee biashara nahitaji large quantity of cement kila week.
Nashukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.