Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

MBISERE CROSSBREEDING Ni Wauzaji na wasambazaji wa vifaranga na mayai, pia tunatoa huduma ya utotoleshaji wa mayai. Tunauza vifaranga wa Izarel Malawi Croiler vifaranga wa nyama Broiler Pia...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani naitaji mfuniko wa kioo kidogo Cha mbele cha Toyota Rav 4 Jana jamaa wameniibia maeneo ya fire pale
0 Reactions
2 Replies
765 Views
kama unacho taja bei na mawasiliano yako
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Natafuta fundi bomba mzuri wa kuweka system ya maji ndani ktk nyumba ambayo bado inaendelea na ujenzi. Ni PM fasta namba yake ya simu Dar es Salam.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Nahitaji mwamvuli mkubwa au turubai la kufunga nje ya nyumbani kwa ajili tu ya kuzuia jua au mvua ambapo watu wanaweza kukaa comfortably.Sehemu ninayokaa kuna upepo mwingi wakati mwingine
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo tajwa hapo juu kiwanja hicho kiwe jirani na barabara kuu ukubwa na bei ni muhimu mawasiliano ni .0752334403
0 Reactions
11 Replies
3K Views
AMIS ni mfumo ambao unatumika kuhifadhi kumbukumbu za wanachuo na pia inauweza wa kupokea malipo yote yatakayofanyika tupitia Bank pamoja na mitandao ya simu. Link ya mfumo: <img...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Nauza iPhone 7plus 128GB mpya cjaitumia toka imeletwa full equipment bei 780000 tu kama unahitaji njoo Dm Au tuwasiliane hapa hapa kwanza tukikubaliana tutaona namna ya kufikiana Location ...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Saa kumi jioni. Mtoni kwa Aziz ally, Ccm Hall. 1st Is free!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza naweza kupata wapi chupa special za 500ml na 1lita kwa ajili ya packaging ya sabuni..ningependa kujua na bei yake
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Gari ninayo hapa Dar. Wadau wote Naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo. 0714 894088 0784 604971 0762 641094. Email yangu ni. mnanacom@yahoo.com
0 Reactions
12 Replies
11K Views
DVR yenye screen hapo hapo pamoja na camera zake 4 pia na router zinauzwa,zimetumika muda mfupi sana. Hii inawafaa kwa wale wanaotaka kufunga security camera nyumbani,dukani n.k. DVR hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wandugu, Shamba linauzwa maeneo ya Masaki mkoa wa pwani(heka 10@1,000,000=10,000,000/=)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uwanja upo Mita chache kutoka chuo science and technology Mbeya (must) Umeme maji vyote vipo.sim no 0766857120
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Habari wanajukwaa..? Nahitaji mifuko ya plastic ambayo ni transparent kwaajili ya kupackage bidhaa zangu,ni wapi naweza kupata mifuko hiyo kwa hapa Dar Es Salaam..!? Mfano wa mifuko:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza saa pattek philipe kwa bei nafuu kabisa 250000. Haijawai kutumika ni mpya 0689211494 Nipigie au tuma sms nitakujibu kwa wakati
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Poleni wadau nahitaji canter tipa ton 2 engine 32 au 33 namba yeyote au isuzu tipa ton 2 iwe bomba usisahau picha ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habarini humu ndani, Tafadhali sana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuvipata vioo vinavyozuia risasi, wapi vinapatikana na hatua za kuvipata. Msaada jamani
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa,ipo mbezi ya kimara,barabara ya kuelekea kinyerezi tabata au malamba. mita 15 kutoka barabarani. Eneo,25×25 mt Nyumba ina vyumba 4,kimoja master. Sitting room 2. Dining room 1...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom