NATAFUTA FUNDI WA WELDING DAR

NATAFUTA FUNDI WA WELDING DAR

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,289
Reaction score
1,426
Je wewe ni fundi wa welding,mwenye uwezo wa kutumia TIG na MIG welding machine . Una ujuzi wa kutengeneza grills za madirisha , milango, vitanda pamoja na mageti . Je na uwezo wa kufanya kazi peke yako bila ya kusimamiwa na kwa uaminifu mkubwa kwa kuendesha workshop ?. Kama una uwezo wa sifa zilizo tajwa hapo juu weka namba yako ya simu yenye watsapp
 
Back
Top Bottom