bila shaka wengi mmesikia juu ya nguvu ya mafuta haya yanayotokana na mmea unaoitwa "Sativa Nigella" kwa jina la kisayansi katika kutibu magonjwa mbalimbali. Dawa hii inaaminiwa kutibu magonjwa...
Mambo WANAJF. Nina kiwanja maeneo ya BUSWELU karibu na Wilayani. Ni kikubwa na kizuri ila hakijapimwa. Nicheki kwa namba +255756851815 kwa maelezo zaidi.
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Bado sijapata mteja wa kiwanja,kipo wilaya ya Busega,Tafadhari,kama unakiitaji,nitafute
manyilezu91@gmail.com
Ukubwa wake ni 37M kwa 17M nipe laki 3 tu inanitosha,
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,
Kiwanja kinauzwa dondwe chanika. Kina ukubwa wa takribani eka1 na nusu (6000M²). Eneo maarufu ya karibu na hapo ni gereza la dobdwe. Kuna maji na umeme...
nauza laptop used kwa mwezi mmoja. aina ya DELL specification RAM 2GB, HARD DISK 160. SPEED 2.5 umapewa na gurantee ya mwaka 1.
BEI 250,000/=
NIPO DAR, MBEZI
KWA MAWASILIANO 0676 488 955
Kwa...
Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 3Km kutoka Nduruma...
Habari bandugu,hili linahusu wale wapenz wa raba wanaotaka kufanya biashara,karibuni nauza raba hzo hapa chini kwa bei nafuu kabixa,nauza kwa bei ya jumla kuanzia piece 20 na kuendelee
Bei sh 5000...
Wadau kama nahitaji kufahamu kama kuna mtu au kiwanda kinatengeneza mkaa unaotokana na makaa ya mawe. Napenda kufahamu upatikanaji wa mkaa na bei yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.