mps JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 406 Reaction score 588 Apr 21, 2018 #1 Kama kichwa cha hbr kinavyosema,ninahitaji boxer BM 150 iliyo ktk hali nzuri iliyotumika si zaidi ya mwaka mmoja.Mwenye nayo aje PM tufanye biashara NB.Nipo Dar es Salaam
Kama kichwa cha hbr kinavyosema,ninahitaji boxer BM 150 iliyo ktk hali nzuri iliyotumika si zaidi ya mwaka mmoja.Mwenye nayo aje PM tufanye biashara NB.Nipo Dar es Salaam
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,953 Apr 21, 2018 #2 Ziko nyingi Kupatana. Mie nimenunua kwa Ml.1 jana. Ukiwa na bahati unaweza kupata hata kwa pungufu ya fedha hiyo uliyoitenga.
Ziko nyingi Kupatana. Mie nimenunua kwa Ml.1 jana. Ukiwa na bahati unaweza kupata hata kwa pungufu ya fedha hiyo uliyoitenga.