Nahitaji line ya uwakala M-pesa

Nahitaji line ya uwakala M-pesa

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Ndugu. Husika na kichwa cha habari hapo juu , nahitaji line ya uwakala Mpesa.. Nipo mwanza nyamagana.
Nahitaji haraka ndani ya wiki Moja, hivyo njia rahisi ni ipii yakujisali Vodashop au naweza pia kupata kutoka kwa mtu
 
Ambaye yupo serious cheki inbox, na bei yenye uhalisia SIO unapanga kukomoa mtu.
 
Mi ninayo ndo nimechukua mwezi uliopita kwa ushauri wangu ungechukua tu ya kwako ingekuwa powa zaidi.
Tafuta
TIN
Leseni ya biashara
Kopi ya kitambulisho
15000 ya mhuri wa mwanasheria pamoja
Na picha tatu za passport.
 
ushauri wa bure tu nenda ofisi za voda kwa.usalama zaidi utafanikiwa ....kila.la heri.
 
Mi ninayo ndo nimechukua mwezi uliopita kwa ushauri wangu ungechukua tu ya kwako ingekuwa powa zaidi.
Tafuta
TIN
Leseni ya biashara
Kopi ya kitambulisho
15000 ya mhuri wa mwanasheria pamoja
Na picha tatu za passport.
Inachukua mda gan kupata lain yako ya mpesa toka vodashop!??
 
Mi ninayo ndo nimechukua mwezi uliopita kwa ushauri wangu ungechukua tu ya kwako ingekuwa powa zaidi.
Tafuta
TIN
Leseni ya biashara
Kopi ya kitambulisho
15000 ya mhuri wa mwanasheria pamoja
Na picha tatu za passport.
Hivyo vyote Sina best
 
Back
Top Bottom