Karimu123
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 243
- 114
Habar wakuu
Nimekuwa nikifuatilia sana juu ya uuzaji wa vifaa vya eltrinia zenji lakin watu wanaofanya biashara hii wamekuwa hawatak kusema ni wap wananunulia kwa zenji.Naomb kufahamishwa wap wanauza vifaa used kwa zenji mana ukienda maduka mengine zenji hyana tofauti na ya dsm asanten