Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Aliye na laptop computer ya model hii iliyokufa na yenye housing iliyo katika hali nzuri na mwenye screen nahitaji. Anipe bei
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, inahitajika Nissan X-trail, bajeti iliyopo ni Mil 7. Kwa mwenye nayo namkaribisha PM tujadiliane. Colour: Any Condition : Good Registration: D.... Note: Hahitakiwi gari nyingine tofauti...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Updates: Nashukuru nishapata.
1 Reactions
13 Replies
871 Views
Pata unga safi wa kuhogo toka nyasa kwa matumizi ya familia Tunapatikana kigamboni 0673216816
0 Reactions
0 Replies
3K Views
New Good Condition Call 0716 080 994 850,0000.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUKU WA KIENYEJI PURE WAPO SOKONI BEI YA MATETEA NI 15000, YA MAJOGOO NI 19000 . WAPO WA KUANZIA MIEZI 7 PIGA 0718175353 AU 0684452123 TUPO DSM CHANIKA NA TANGA KOROGWE. WA MIKOANI NA VISIWANI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam Wadau wa JF, Poleni na kazi za kutwa nzima! Tafadhali naomba msaada, eti ni sehemu gani hapa Dar naweza kupata hizi begi za Swiss Gear. Nahitaji tatu kwa matumizi binafsi na kwa familia...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Nauza Line za Uwakala Tigo :250,000 Voda :150,000 Airtel : 50,000 Zote zina jina moja tu. documents zake zipo. kama unachukua zote tatu bei ni : 410,000/= Bei nilizoweka hapo ni FIXED...
1 Reactions
6 Replies
930 Views
natafuta fundi simu ambaye tutashirikiana katika kazi..Mimi ntakuwa fundi upande wa softwares...awe anapatikana dar note..tutachangia pango ofisi tutatafuta sehemu yenye huitaji. kama upo tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nitafute kwa nambari 0716896430
0 Reactions
10 Replies
834 Views
bila shaka wengi mmesikia juu ya nguvu ya mafuta haya yanayotokana na mmea unaoitwa "Sativa Nigella" kwa jina la kisayansi katika kutibu magonjwa mbalimbali. Dawa hii inaaminiwa kutibu magonjwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo WANAJF. Nina kiwanja maeneo ya BUSWELU karibu na Wilayani. Ni kikubwa na kizuri ila hakijapimwa. Nicheki kwa namba +255756851815 kwa maelezo zaidi.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimebobea katika shughuli zoteee mahali kokote nchini 0716896430 kwa garama nafuu
0 Reactions
0 Replies
420 Views
.
1 Reactions
1 Replies
712 Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nauza mordem mpya aina ya VIVO inatumia lain yoyote ile sh. 22,000 nipo DAR, MBEZI Kwa mawasiliano 0676 488 955 mkoani nakutumia
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Bado sijapata mteja wa kiwanja,kipo wilaya ya Busega,Tafadhari,kama unakiitaji,nitafute manyilezu91@gmail.com Ukubwa wake ni 37M kwa 17M nipe laki 3 tu inanitosha,
0 Reactions
7 Replies
822 Views
Jipatie Information Technology Certification Online Certification Exams From NCSA
1 Reactions
0 Replies
536 Views
nauza mordem mpya aina ya VIVO inatumia lain yoyote ile sh. 22,000 nipo DAR, MBEZI Kwa mawasiliano 0676 488 955 mkoani nakutumia
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Back
Top Bottom