Site ya biashara Arusha inakodishwa. inafaa kwa biashara yoyote. in umeme na maji Kufika ni vizuri zaidi kuliko picha. Kodi ni maelewano. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na namba 0653 954094
Habari za leo Wana JF!! Viwanja vinauzwa eneo la Nduruma 20Km kutoka Arusha mjini na 3Km kutoka barabara ya lami Arusha-Moshi. Bei ni 2,500/= kwa Square Mita. Maji na Umeme zinapatikana...
Sasa unaweza Kutrack maendeleo ya mazoezi na afya yako kiujumla
Inapima step ulizotembea,mapigo ya moyo,umbali,mafuta ulichoma( calories) inakuonesha nani anapiga katika simu yako,na sms...
Ndugu wana JF,
Poleni kwa mihangaiko ya kila siku,
Kama tunavyojua vyuma vimekaza sahivi nataka nianzishe biashara nimuweke mtu asimamie nı ya kuuza dawa za binadamu.
Sasa ili na yeye...
Natafuta gear box complete ya CRV HONDA RD7 ya mwaka 2005 ambayo ni used, imeua clutch nimeamua kununua tu complete, naomba ramani ama contact za wauzaji
Habari wakuu wangu i hope kila mmoja wenu yuko salama. Niende kwenye lengo kamili.
Nahitaji mwenye kuuza photocopy machine aniuzie au mkazi wa Dar aniambie machine hiyo inauzwa bei gani.
Mimi ni...
Tunapouanza msimu wa Mbaazi. Naomba wadau wote wa zao hili kwenye upande wa kuuza locally na exportation. Tujadili kwa pamoja kuhusu masoko, bei, upatikanaji, Packaging, procedures za kuexport...
*BRAND NEW 5D GLASS PROTECTOR IN TOWN*
Jipatie sasa glass protector bora za samsung kwa bei nafuu sana
Kwasasa mzigo unapatikana DAR ES SALAAM, kwa shilingi 10000tu.
Call 0753063142...
mashati makali na tshirt zinauzwa kwa bei rahisi mnoo,jumla elf8 na rejareja ni elf10 store ipo temeke-buza kuletewa kuanzia pic 20 wamikoani wanatumiwa,mawasiliano 0656730433.karibuni
Maxcom Africa no kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa machine za kielektroniki zinazomwezesha wakala kutoa huduma kwa haraka kupitia machine hizo. Huduma hizo no kama ifuatavyo;
1. Huduma ya...
Wadau mm Niko tabora na nina gunia kama 15 za viazi vitamu safi kabisa,natafuta mwenye uhitaji.popote ulipo kama dodoma, dar nitakuletea chamsing bei tukubaliane.nitafurahi kama nitapata mrehesho...
Nauza powerbank orgn kabisa kwa elfu 60 tu ,haipungui hata kidogo .
Njoo PM na pesa Cash .
Au Nicheki Whatssap Kwa Namba Hii 0758502213 .
Inachaji Simu Mara Tatu Nishafanyia majaribio wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.