Nimepata tenda ya uzoaji taka, natafuta gari

gentlemanx

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
2,375
7,216
Habari zenu wanajamvi, nimepata tenda ya uzoaji taka majumbani, natafuta gari ya kukodi msaada wanajamvi na kama kuna yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili nitashukuru nikipata changamoto.

Nawakilisha.
 
Umepata tenda ya kitu usichokijua...... Huu ni ulimbukeni.
 
Hayo mashartivya tenda yalikuwaje hawakukagua ofisi na vifaa kama vipo? Uzoefu na ujuzi wa aliyeomba tenda!
 
Habari zenu wanajamvi,nimepata tenda ya uzoaji taka majumbani,natafuta gari ya kukodi msaada wanajamvi,na kama kuna yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili,nitashukuru nikipata changamoto

nawakilisha,
Anza hivi Mkuu kodi toyo ya mtu utumie kwa muda, hakikisha pia una chepe kadhaa, na gloves, na nguo maalumu za kuzolea taka.

Ukipata hela tu nunua toyo yako piga kazi kwa bidii.

Uwe na nidhamu na hela yako, natumaini December 2016 utakuwa umefika mbali kimaisha. Hapa Kazi tu!!!
 
Umepata tenda ya kitu usichokijua...... Huu ni ulimbukeni.
Anza hivi Mkuu kodi toyo ya mtu utumie kwa muda, hakikisha pia una chepe kadhaa, na gloves, na nguo maalumu za kuzolea taka.

Ukipata hela tu nunua toyo yako piga kazi kwa bidii.

Uwe na nidhamu na hela yako, natumaini December 2016 utakuwa umefika mbali kimaisha. Hapa Kazi tu!!!
nashkuru sana
 
nashukuru kwa ushauri,ila principle ni kwamba inatakiwa gari kubwa ,maana ni lazima nikamwage dampo kinyamwezini,toyo itakuwa ndogo,
 
Watafute wenye magari ya taka kisha kodi kwa bei ndogo sana ili upate faida, maana wenye gari za taka haina maana kwamba wao wanazoa taka masaa 24, kuna muda wanakuwa free
 
nimeshafanya sana hizi tenda,nikapata hasara mara mbili....kuwa mwangalifu hasa kwa wanaotakiwa kulipia hiyo huduma...huwa inategemea na maeneo...maeneo ya uswahilini kulipa ni mbinde sana....itabidi utumie sana hela yako ya mfukoni na uwahonge viongozi wa serikali za mitaa nk....ni kimbembe
 
Habari zenu wanajamvi, nimepata tenda ya uzoaji taka majumbani, natafuta gari ya kukodi msaada wanajamvi na kama kuna yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili nitashukuru nikipata changamoto.

Nawakilisha.
Vigezo vya kuomba hii kazi si pamoja na uzoefu na kuwa na nyenzo? Katika hayo wewe uliandika nini na sasa unaomba msaada wa nini?
 
Back
Top Bottom