Natafuta Nafaka Kibaha

Natafuta Nafaka Kibaha

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,271
Habari wandugu
Natafuta mtu (mwenye bidhaa za nafaka kama Maharage,mahindi,choroko n.k) atakayekuwa ananisafirishia kwa bus kwa bei ya jumla. Mi napatikana DSM kimara. Kama unazo njoo pm tuyajenge zaidi
 
Mahi

Mahitaji yako Ni kiasi gani
 
Mahi

Mahitaji yako Ni kiasi gani
Itategemea na bei ya muuzaji, nitaanza kidogo kujaribu soko, soko likikubali tutaendelea kufanya biashara zaidi na zaidi
 
Ok ina maana ndo unakwenda kuanza biashara hii,bei ya mazao inabadirika kufuatana na Mahitaji, nilitaka kujua makadirio yako kwa bidhaa zoote yaani maharage,mchele, karanga pia mahindi utachukua labda ton 15 au zaidi
Bei be
 
Mmmmh tani nyingi sana mkuu, niliataka nianze na kg 20 za Maharage then wateja wakijitokeza kwa wingi niwe nachukua kg100 100
 
Kwa kiasi unaweza chukua hapo mjini tu, hata ukichukua shamba gharama za kusafirisha zinakuwa kubwa na kumaliza faida kwa maana hiyo itakuwa hasara
 
Kuna mmoja alikua anauza 1300/kg anakuletea mpak ulipo freely,na kulipa ni cash on delivery baada ya kuridhika na mzigo
 
Mwenye maharage ya soyalishe (soybeans) and maharage mekundu (red kidney beans) aje inbox

kuna uhitaji mkubwa mahali.

akiwa mkulima halisi itapendeza au awe anatoa straight from the farmers
 
soya beans ni yale ya njano au?
 
namaanisha kusafirisha kwa basi huo mzigo
naona kama inakua gharama sana
 
Habari wandugu
Natafuta mtu (mwenye bidhaa za nafaka kama Maharage,mahindi,choroko n.k) atakayekuwa ananisafirishia kwa bus kwa bei ya jumla. Mi napatikana DSM kimara. Kama unazo njoo pm tuyajenge zaidi
Kibaha hatuna mashamba nafaka nenda morogoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom