Akilimali22
Senior Member
- Jun 7, 2015
- 168
- 90
Nauza invetor yangu mascot shine wave bei 900,000/-tsh .input 12 dc output 230 ac 1000w
Kazi yake kubwa ni kubadilisha umeme wa DC kuwa wa AC.Hivi hizi kazi yake ni nini! mkuu naomba ka elimu kidogo, samahani lakini.
Ukiwa nayo hii unaunga solar, battery (itakuwa inatunza moto wa kutoka kwenye solar), then inverter hiyo then vifaa vinavyutumia umeme...Inahifadhi umeme? Sijuagi hizi mambo kabisa, ndio zile unafunga kwenye Solar? Power inverter?