Pikipiki za kukodisha

Pikipiki za kukodisha

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Habarini wakuu,

Nina pikipiki mbili mpya, SANLG na zishalipiwa vibali vyote.

Swali langu ni hili, je kuna makampuni ya courier services ambayo naweza kuwakodisha wakawa wananilipa kwa mwezi?

Au kama kuna any other alternative ya kuzitumia hizi kupata kipato cha nyongeza. Sitamani kuzitumia kama bodaboda.

Nahitaji mawazo na ushauri wenu wadau wa JF.
 
Back
Top Bottom