Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye playstation 3 naomba aniuzie...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
Nauza PlayStation 4 used ikiwa pamoja na pad 2 , HDM wire , ikiwa na game ya FIFA 18
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazima humu? Jamani naomba mwenye kujua bei ya gunia la ufuta kipind hiki cha mavuno na wastani wa bei ya kuuzuia katika soko kipindi ambacho sio cha mavuno. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu Kama kichwa habari apo juu, nanunua mazao hayo kwa bei nzuri, kama unakuanzia 500kg mpaka tani 20,nicheki pm tuzungumze biashara Natanguliza shukrani Cell No; +255766687168
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wauzaji bei ngapi kilo ulipo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wafugaji na wanunuzi na wauzaji wa kuku wa kienyeji na kisasa tukutane hapa Weka aina ya bidhaa yako hapa ikiwa ni pamoja picha na umri kama ni kuku bei, mahali ulipo pamoja na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa vijana wanaohitaji kuapply mikopo mfumo ulishafunguliwa na Bodi ya mikopo. Kama unashindwa kuapply kwenye mtandao tunaweza kuwasiliana ili kusaidiana katika kutuma maombi online.Ukipata...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WAna board Hi, naomba kuuliza, naweza pata kwa kiasi gari lenye taarifa hizo hapo juu? (ie BREVIS 3000Cc Reg # ...DLL Likiwa kwenye hali nzuri, 70000km
0 Reactions
13 Replies
1K Views
1.ACER HDD 160GB Process 1.60Ghz RAM 2GB KEYBOARD TO BE REPLACED Battery life 3hrs 2.Dell D620 HDD 500GB RAM 3GB PROCESSOR 1.60Ghz Battery life 3hrs Zote nipe 550,000 Call/sms...
0 Reactions
5 Replies
902 Views
Habar, kama wewe ni msanii wa kuimba karibu sana katika studio zetu za Moo Record uweze kupata ofa ya kurekodi wimbo wako kwa bei ya shilingi 60,000 tu na pia tutakusaida katika conection mbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wadau, Naombeni msaada mwenye kujua website, blog etc ambayo naweza ku advartise hotel au hostel yangu na nikapata wateja kwa urahisi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
New brand and boxed Warranty available Price iPhone 6plus 730000 IPhone 6s plus 930000 Call/text 0767109191 for image and info
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho. BEI YA LEO Ufuta: 2,600/= kwa kilo Choroko: 1,100/= kwa kilo Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
800 Views
price 16,000,000 Used ford ranger Year of manufacture: 2007 Price Negotiable Wasiliana nasi 0769968626
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Kanisa la waadventista wa sabato, linakuletea mkutano mkubwa wa injili. Mikutano hii itarushwa moja kwa moja kupitia chanel ya morning star tv, online mstv na redio. Mnenaji mkuu ni mch Mark...
11 Reactions
94 Replies
18K Views
Ram 4gb Processor core i3 Storage 500gb Only New brand available Price 670000 Tsh . Call/text 0767109191 for image and info
1 Reactions
1 Replies
570 Views
New brand and boxed 128gb Matted black Call/text 0767109191 for picture and info Price iPhone 7 1.3m IPhone 7plus 1.5m
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Wakuu salam, Ninauza freezer tajwa hapo juu kwa bei ya shilingi za kitanzania 450,000/= (laki nne na elfu hamsini tu). Lipo dodoma mjini. Mawasiliano: 0746426085 Karibu.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
SHULE ILIOPO MBULU MANYARA INATAFUTA MBIA WA UENDESHAJI kwa Mawasiliano piga kwa Mkurugenzi wake +255 767 928167 / 0784 928167 / au fika shuleni hapo .nimeambatanisha picha ya sehemu ya shule
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana-JF, Katika kuuanza mwaka mpya wa 2018, nawashirikisheni jambo hili kuhusu Viwanja vilivyopimwa na vinavyouzwa kwa bei nafuu. Kuna viwanja vilivyopo Pangani-karibu na Stendi mpya ya...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Back
Top Bottom