Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili, moja ya chumba kiwe master, choo cha public, jiko seble, paving blocks, alminium window n.k
Ofa nnatoa laki mbili mpaka mbili unusu...Nahitaji...
Jipatie mafundi expert Na wabunifu katika kazi ya rangi wana uwezo wa kuiba dilisha nyumba yako kua mpya Na yenye mvuto. Kwa Maelezo zaid piga Au watsap 0757020067.
Rejea somo
Natafuta shamba kwa ajli ya kilimo cha mpunga
Liwe wilaya ya kakonko,chato au kibondo
Liwe karibu na chanzo cha maji cha uwakika maana nataka lima misimu 2
Ekari 100 au zaidi
Waweza...
Wana jf wenzangu nina eneo la ekari 10 liko manispaa ya Dodoma kijiji cha Nzuguni kitongoji cha Machimbo.kiko umbali wa km moja toka barabara kuu ya DODOMA-DAR.barabara ya kufika eneo hili ni...
Wadau, inahitajika Nissan X-trail, bajeti iliyopo ni Mil 7. Kwa mwenye nayo namkaribisha PM tujadiliane.
Colour: Any
Condition : Good
Registration: D....
Note: Hahitakiwi gari nyingine tofauti...
KUKU WA KIENYEJI PURE WAPO SOKONI
BEI YA MATETEA NI 15000, YA MAJOGOO NI 19000 . WAPO WA KUANZIA MIEZI 7
PIGA 0718175353 AU 0684452123
TUPO DSM CHANIKA NA TANGA KOROGWE.
WA MIKOANI NA VISIWANI...
Salaam Wadau wa JF, Poleni na kazi za kutwa nzima!
Tafadhali naomba msaada, eti ni sehemu gani hapa Dar naweza kupata hizi begi za Swiss Gear.
Nahitaji tatu kwa matumizi binafsi na kwa familia...
Nauza Line za Uwakala
Tigo :250,000
Voda :150,000
Airtel : 50,000
Zote zina jina moja tu. documents zake zipo.
kama unachukua zote tatu bei ni : 410,000/=
Bei nilizoweka hapo ni FIXED...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.