Bei ya ufuta

mangia22

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
447
185
Wazima humu?

Jamani naomba mwenye kujua bei ya gunia la ufuta kipind hiki cha mavuno na wastani wa bei ya kuuzuia katika soko kipindi ambacho sio cha mavuno. Natanguliza shukrani.
 
Ufuta hawaweki kwenye gunia.
Mwaka jana bei ilianza juu, halafu ikashuka ghafla zaidi ya 40% mpaka RC Zambi akaanza kutoa matamko na bei elekez ambayo haikusaidia, baada ya wahindi kutimiza idadi ya mzigo bei ilipanda tena na.wakat huo ufuta ulikuwa adimu the same to zao la Mbaazi
 
kama hawaweki kwenye gunia wanaweka wap ndugu?
 
UFUTA na CHOROKO
Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho.

BEI YA LEO
Ufuta: 2,600/= kwa kilo
Choroko: 1,100/= kwa kilo

Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
Back
Top Bottom